Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

1st ...
Screenshot_20210121-004234_All%20Goals.jpg
 
BREAKING: Arsenal have made an approach to Real Madrid for attacking midfielder Martin Ødegaard. Arteta’s a big fan of the player. [
@skysportspaulg
]
Recruitment department haina userious na ubingwa, top 4,wala top 6 timu haina AM wa maana tumekuwa wa 10 sababu hiyo mpaka sasa nlitegemea tuwe serious na hii position ila naona ujinga ujinga tu
 
Notice nilichoandika.

Top 4 is within reach kama atasajiliwa AM.

Nilichofurahi ni kuona umejitoa katika hizo mbio, now you know your place. Na wenzako watagundua hilo soon.
Kwa mwenendo huu unavyoenda nisiwe deluded fan....mpk lamps atakapoondoka tutakuwa tunaanza kuhangaikia top 4
 
Kwa mwenendo huu unavyoenda nisiwe deluded fan....mpk lamps atakapoondoka tutakuwa tunaanza kuhangaikia top 4
Hahaha angekusikia angekuunga mkono. Amesema Chelsea bado haina kikosi cha kuwania makombe. A guy ambaye kaspend 220M na ana kikosi chenye kila kitu anaongea hivyo
 
Alikua akikuonea wivu ulivyo kua una chapika, na yeye kaona ajiunge kwenye mstari wa kupokea vichapo.

Pambaneni musishuke daraja
Ebwana hii chapati imeibuka. Siku hizi imeshazoea vipigo.

Imekua nunda.
 
Alikua akikuonea wivu ulivyo kua una chapika, na yeye kaona ajiunge kwenye mstari wa kupokea vichapo.

Pambaneni musishuke daraja
Nilikuahidi kitu.

Iwe iwavyo vibonde vyetu viwili lazima tuvibake. Mwenzako kashaoga 3.

Bado wewe, una wiki mbili za kujiandaa.
 
Nilikuahidi kitu.

Iwe iwavyo vibonde vyetu viwili lazima tuvibake. Mwenzako kashaoga 3.

Bado wewe, una wiki mbili za kujiandaa.
Hataukisia kufungwa, lakini sio na aseno.
Mkuu tarehe 30 utajua kua hujui, tunakurudisha ulipo kua.
 
Hataukisia kufungwa, lakini sio na aseno.
Mkuu tarehe 30 utajua kua hujui, tunakurudisha ulipo kua.
Hiyo tarehe 30 ni gemu ya pili. Gemu ya kwanza kilikukumba nini?

Nakuibia siri nyingine.

Gemu yenu na liva kwenye fa mnafungwa. Liva kashajijua hana pumzi ya kugombea kombe la ligi ndiyo maana huko FA anaanzisha kikosi chake cha siku zote. Nyinyi kwakua mna matumaini na ligi hamtataka kuchosha wachezaji wenu ili mpambanie vizuri ligi.

Kwa hiyo nimekugarantii vipigo viwili cha Arsenal na cha liva.
 
Back
Top Bottom