Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal considering a move for Ryan Bertrand with his contract up in the summer. Talks continue with Saints but no deal is done yet. Piece with @sr_collings #Saintsfc #AFC

Huyu Nyumbu Tunakuja kumuharibia sherehe yake Sisi Wenyewe tarehe 30 washindwe wao tuu wanyuma yake hatutaki kuona top one pale wiki alizokaa palee juu zinamtosha ...!! Tunamsubilia kwa hamu zote yaani machinjioni Emirates Stadium

halafu wakumbusheni tuu napenda kuwajuza uwepo wa kaka mkubwa Thomas Partey nae atakuwepo.

Hahahahaaa.....!!! Nacheka kwa Dharau sana yaanii....!! Nikisikia Siku za Nyumbu zinakaribia...!! Namtamanii yaanii....

Kitoabu rafiki yangu umetusumbua sana humu, siku zako zinahesabika
 
huyu dogo left foot na mdhamini kuliko Aour, hivi ana stats gani msimu huu Aour, sijamfatilia toka kipind kile cha summer, odeagard namkubali toka kitambo....alipopelekwa sociedad

Martin Ødegaard 2019-20 vs Houssem Aouar 2020-21, Midfield Template
Translate Tweet
Image
Binafsi nina imani na Buendia kuliko wote waliotajwa. Sijamaanisha Odegaard ni hovyo ila tulimchukua Suarez kwa mkopo na ikawa siyo ishu huyu sijui itakuaje.
 
Kulikua na watu wanapatikana kwa mkopo ambao wangekuja ingekua deal poa sana. Kuna Luca Jovic na Miliki. Tumeacha hizo deals zitupite tumeopt kulainisha gemu, siyo deal mbaya, Odegaard siyo mbaya to be fair, ana kasi, stamina, pasi zake na krosi vyote vina macho, anajua kudribble, mwepesi na ana skills za kutosha.

In short ana sifa zote za kiungo mshambuliaji.

Ila sifa yake nyingine huyu bwana ni kwamba work rate yake katika kushambulia na kulinda timu ikiwa kwenye presha ni wastani. Mwingine aliyekua na work rate ndogo mpaka hakuwekwa kwenye kikosi ni Ozil. Nini itakua tofauti ya ujio wa Odegaard? I mean si ni same stats ndiyo zinarudi klabuni?
 
Binafsi nina imani na Buendia kuliko wote waliotajwa. Sijamaanisha Odegaard ni hovyo ila tulimchukua Suarez kwa mkopo na ikawa siyo ishu huyu sijui itakuaje.
mimi ukitoa GREALISH basi sioni mwingine....lkn kwa hawa wanaotajwa...huyu odegaard namkubali kuliko brandit, shida ya buendia wanataka kutuuzia paund mil 40, january...wakati arsena wanajipanga summer kutumia hiyo hela au zaidi kidogo wamrudie Aour au wajaribu kwa Grealish
 
Kulikua na watu wanapatikana kwa mkopo ambao wangekuja ingekua deal poa sana. Kuna Luca Jovic na Miliki. Tumeacha hizo deals zitupite tumeopt kulainisha gemu, siyo deal mbaya, Odegaard siyo mbaya to be fair, ana kasi, stamina, pasi zake na krosi vyote vina macho, anajua kudribble, mwepesi na ana skills za kutosha.

In short ana sifa zote za kiungo mshambuliaji.

Ila sifa yake nyingine huyu bwana ni kwamba work rate yake katika kushambulia na kulinda timu ikiwa kwenye presha ni wastani. Mwingine aliyekua na work rate ndogo mpaka hakuwekwa kwenye kikosi ni Ozil. Nini itakua tofauti ya ujio wa Odegaard? I mean si ni same stats ndiyo zinarudi klabuni?
kwasasa kipaumbele ni AM, kwa uwepo tu wa martinel, nketiah, laca, auba, halafu ukamchukua jovic huku una uhaba wa AM, LB na GK, Ingekuwa kina edu wanarudia makosa,

maana pia odegaard anachukua nafas ya ozil, GK amechukua nafas ya Runarson aneyetolewa loan, nafasi za NHG zimeisha

ndio maana nafasi ya LB anatafutwa muingereza, nafas za HG zimejaa,
 
Odegaard will have to taken an isolation process when he arrives in London. So count about 10 days before he starts training and then he'll have to recover form, he hasn't played a lot, only 5 minutes in 6 games, so he will need to catch up on that. [
@GuillemBalague
]
 
Martin Odegaard preferred to go to Arsenal instead of returning to Real Sociedad. He opted for the Gunner project instead of that of Real Sociedad. Odegaard does not feel valued by Zinedine Zidane and has grown tired of waiting for opportunities. [
@COPE
]
 
mimi ukitoa GREALISH basi sioni mwingine....lkn kwa hawa wanaotajwa...huyu odegaard namkubali kuliko brandit, shida ya buendia wanataka kutuuzia paund mil 40, january...wakati arsena wanajipanga summer kutumia hiyo hela au zaidi kidogo wamrudie Aour au wajaribu kwa Grealish
Grealish siyo natural AM ni LW jamaa. Mi naona ana hype tu kipindi hichi ila siyo muarobaini kwa Arsenal.
 
Grealish siyo natural AM ni LW jamaa. Mi naona ana hype tu kipindi hichi ila siyo muarobaini kwa Arsenal.
ni natural AM , yaani huyo Jack... ni habari nyingine, aour hamgusi hata kidogo, jack anacheza LW & RW , Llkn main position yake ni AM, Sio hype, jack hata last seaoson wakiwa mkiani yeye binafsi alikuwa vzr, ndie aliplay part kubwa kuipandisha daraja wakiwa championship, uwezo wake hauna doubt, mancity wana nafas kubwa kumpata summer

Aston villa wanapocheza 4-3-3, anacheza morden no.10 ambayo ozil ilikuwa ngumu kumpanga, kwa mujibu wa Transfer market wanasema ni AM as main natural position ,

ni moja ya jina linatajwa summer but itacost paund million 75-80. , ili kumpata,
 
EMILE SMITH ROWE, CROYDON'S KELVIN DE BRUYNE

Mitaa ya Magomeni ilituletea Mohamed Hussein Zimbwe Jr asante Magomeni, mitaa ya Kirumba huko Mwanza ilituletea Kelvin Patrick Yondani, thank you Mwanza Mwanza! Mitaa ya Ifakara Morogoro ikatuletea Farhan Jr, Asanteni pia Ifakara

Kuna Mtaalamu na Afisa wa zamani Kabisa wa soka pale FIFA anaitwa Jerome Valcke aliwahi kusema "The street is the best way of becoming a good Footballer" akiamini vumbi la mtaani, kuta za nyumba ndio zinazalisha wanasoka bora sana

Mie nani nibishe? Kama utahitaji kubishana basi dunia hujaijua wewe, nikusafirishe mpaka London Uingereza kwenye nchi ya Malkia Elizabeth anaepumzika kwenye kasri lake la Buckingham akiendelea kutazama nani atachukua kiti chake siku akiondoka

Ila mimi nakushusha mpaka Kusini mwa Jiji la London, ni mitaa hii ilituletea Callum Hodson Odoi, haikutosha ikatupa Jadon Sancho, haikutosha ilitupa David Beckham 'The English Prince' kisha Wilfreid Zaha na sasa imetupatia EMILE SMITH ROWE

Kwenye eneo hilo la Kusini mwa London kuna mtaa unaitwa CROYDON, ndipo hapo panaitwa Magomeni Usalama kama kwa Herry Mzozo, ndipo hapo nyumbani kwa fundi Emile Smith Rowe, wenyewe wanamwita CROYDON KELVIN DE BRUYNE

Ilikuwa jioni moja ya 2015 kama sikosei, Skauti mmoja wa Arsenal katika pitapita zake kichwani akiwa na stress nyingi sana, akiwaza Arsenal ya Mafundi kama Robert Pires, Arsenal ya Vava Voom Thierry Henry El Mimo au The Non flying Dutchman Dennis Bergamp

Katikati ya mawazo yake aliwaona watoto wakipiga mpira mtaani, alimshuhudia mtoto mmoja mwenye nywele nyeupe, hajavaa guards mguuni na amekunja socks zake, anapangua ukuta atakavyoz anafunga, anasharehesha na anaburudisha, hakuhitaji kumtazama mara mbili zaidi ya kuonana ma wazazi wake

Miaka mingi imepita sasa, De Bruyne kutoka South London anayasherehesha majukwaa ya Emirates, mchezaji mkubwa aliepatikana kwa pesa ndogo tu, amekuwa utambi kwenye mafuta ya taa, amekuwa reflector kwenye gari iliyoharibika

The Magician ESR, the very own English KDB
136423342_903885807086613_1476718925473966055_n.jpg
 
ni natural AM , yaani huyo Jack... ni habari nyingine, aour hamgusi hata kidogo, jack anacheza LW & RW , Llkn main position yake ni AM, Sio hype, jack hata last seaoson wakiwa mkiani yeye binafsi alikuwa vzr, ndie aliplay part kubwa kuipandisha daraja
Jack Grealish ni LW naturally, na imekuwa first position kwake. Katika fútbol hakuna LW at first bali AM hiki ndio huwachanganya watu.

skysports-grealish-jack-graphic_5066353.png

Jack ni registered kama AM katika Premier League, UEFA na FIFA Licences lakini yenye maana AM (Midfielders wa final 3rd). Yeye hucheza Left Winger/Left Midfield na sio Attacking Midfield - AM wakifahamika kama 10.

skysports-jack-grealish-graphic_5052405.png
 
Jack Grealish ni LW naturally, na imekuwa first position kwake. Katika fútbol hakuna LW at first bali AM hiki ndio huwachanganya watu.

Jack ni registered kama AM katika Premier League, UEFA na FIFA Licences lakini yenye maana AM (Midfielders wa final 3rd). Yeye hucheza Left Winger/Left Midfield na sio Attacking Midfield - AM wakifahamika kama 10.

Mkuu hajawahi kuwa LW naturaly, ni sawa leo uniambie AUBA ni LW natural kisa anatumika hivo ,

kwa ninavyofahamu na toka nianze kumfatilia jack, sio LW naturally, japo anacheza hiyo nafasi

hata transfer market wanasema hivo

pitia hapa wamemuelezea vzr sana najinsi anavyotumika ktk mifumo tofautitofauti ndio maana unamuona kama ni LW

Aston Villa boss Dean Smith has used various systems over the course of the season. He has rotated between a 4-2-3-1 and a 3-4-3 depending on the opponent. Grealish has fit into both systems with ease. In the 4-2-3-1, he plays in his preferred number ten role with the freedom to influence play all over the pitch. In the 3-4-3, the midfielder plays in a left-sided role. Although not naturally a winger, Grealish can fill in that position when required. In this role, he drifts inside to the central areas in order to have a bigger impact on the game.
Capture.PNG
 
Fabrizio romano

Real Madrid and Arsenal have been negotiating for Ødegaard also tonight. The agreement is really close as reported yesterday - there are still details to be sorted out. No Real Sociedad, no Ajax: Ødegaard wants Arsenal. He’s now pushing to join #AFC in the coming hours.
 
Back
Top Bottom