Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Watu wanashindwa hata kutofautisha taste za maandishi?

Binafsi namwona Aaron kama reporter, huku wewe ukifanya kazi ya uchambuzi.
Huwa nawatofautisha hapo.
AronArsenal ni kama reporter humu, na Castr anaenda kama mchambuzi.

Tatizo linakuja, id hizi hazijawahi kutana.
Yani siku ukiiona id ya AronArsenal basi jua ya Castr huioni, na ukiiona ya Castr basi ya AronArsenal huioni.

Hapo ndipo nilipo anza kuwa na wasi wasi na hizo id 2.
 
Aisee!

Kwangu hawa ni watu wawili tofauti, na sioni sababu pia ya ku-doubt. Hakuna kosa hizi ID zimefanya.

Tumetoka kwenye ushabiki tumekuja kwenye kuchanganya IDs?
 
Huwa nawatofautisha hapo.
AronArsenal ni kama reporter humu, na Castr anaenda kama mchambuzi.

Tatizo linakuja, id hizi hazijawahi kutana.
Yani siku ukiiona id ya AronArsenal basi jua ya Castr huioni, na ukiiona ya Castr basi ya AronArsenal huioni.

Hapo ndipo nilipo anza kuwa na wasi wasi na hizo id 2.
Tatizo mzee umeanza kua regular kwenye nyuzi za mpira siku za karibuni.

Ungekuepo tangu kipindi cha Emery ungeelewa.

Katika kabila langu, kukosea na kumuita mtu jina lisilo lake ni dharau kwakua unamaanisha hatoshi na hana sifa ya kuitwa jina lake halisi.

Kulazimisha mimi ni mtu mwingine ni dharau hizi unaniletea
 
Poa babu, yaishe.

Mathematically, Arsenal ana chance ya kuingia top 4 ila technically ni jambo gumu kiasi unless tuwe na consistence ya ushindi na performance for the rest of the season.
Hamna timu Arsenal ya kupambana top 4.

Hapo unamtoa nani kati ya United, City, Liverpool, Leicester, Chelsea na Tottenham?
 
Mathematically, Arsenal ana chance ya kuingia top 4 ila technically ni jambo gumu kiasi unless tuwe na consistence ya ushindi na performance for the rest of the season.

Kama ulivyosema, point yangu pia iko hapo kwenye technically.

Ukiangalia vikosi vya timu nilizotaja vina weight kupita kikosi cha Arsenal, though kila timu sasa hivi ina struggle, bado sioni Arsenal akicheza top 4 msimu huu.
 
Hivyo vikosi ulivyovitaja viwili vimefungwa na Arsenal isiyo na weight. Katika hivyo viwili kimoja kimeanza kusua sua, kimoja ni miyeyusho ila kwa sasa kipo namba moja.

Top 4 is still within reach, usajili utakaofanyika utatupa uhakika au utaondoa uhakika.
 
Saa mbovu zipo nyingi sana juu ya Arsenal. Vumbi likitulia kila mmoja ataonyesha alichobaki nacho

Sisi washabiki huwa hatukati tamaa mpaka dakika ya mwisho.

Na huwa ni mara chache sana kukubaliana na uhalisia.
 
Back
Top Bottom