Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mambo haya hutokea kwenye mpira. Hakuna mchezaji atakayedumu hapa. Walikuwepo akina Henry, Bergkamp, n.k na wakaondoka bila kujali ni mgogoro au nini


#COYG
#COYG
 
Kikosi cha leo
FB_IMG_1610997415632.jpg
 
Forward line good as it is

Hili combination ya xhaka na partey ndio nilikua naisubiri sana.
Man u alipata shida sana na hii mijambaz


#COYG
 
Yani Auba sijui ni petha na zile ferrari zake za 2m$ zinamzingua yani amekua kama Samatta hata kudribble kidogo hawezi
 
Smith Rowe.......Saka.........goal.

Ila huyu Thomas ana utulivu wa hali ya juu.
 
Back
Top Bottom