Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,585
Arsenal waliifunga West Brom nne. Nyinyi mliifunga ngapi?
Basi pateni sare kama vipi. Maana sisi tulipata sare kwa Westbrom.
Arsenal waliifunga West Brom nne. Nyinyi mliifunga ngapi?
Nlikuwa sijaona nafuatilia nowFabrizio Romano ameripoti Arsenal imeanza mazungumzo na Draxler.
Xhaka is my MOTM todayAmtoe Ceballos angie Thomas,huyu Xhaka anaweza kupewa nyekundu.
Kweli ila kuna kipindi alikuwa anacheza rafu za hatari.Xhaka is my MOTM today
Naked truthXhaka is my MOTM today
Arsenal waliifunga West Brom nne. Nyinyi mliifunga ngapi?
And this is his 2nd season72 Tungelinunua wachezaji wawili kwa 30m + 30m = 60m | mishahara yao kwa miaka minne ingelikuwa 5m + 5m = 10m (60m + 10m = 70m). Tungelibakiza 2m ambazo wangezitumia katika ratio ya vyakula kwa misimu hiyo minne.
Kumbe Kolasinac alikuwa wa muhimu?Tunahitaji kusajili Board na viongozi please this is not an option thing,leo Tierney hayupo imekuwa mbaya sana kwetu ,Smith sio player mbaya but sio wa kumtegemea kwenda top 4 never
Huyu anapoteza muda Arsenal hana impact yoyote, ngoja nimkalie kikao kwanza.And this is his 2nd season