Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]View attachment 1677754
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Ongereni aseno kwa kupata sare, maana hao jamaa, sisi walitufunga.
Kwa sare hii mume dhihirisha kua nyinyi ni tumu kubwa duniani.
 
Asenal kaoza Kama malaya wa sinza bar[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Top 7 mtaisikia tu msimu huu hamna uwezo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Acha kulialia nyau bro!
Tunahitaji kusajili Board na viongozi please this is not an option thing,leo Tierney hayupo imekuwa mbaya sana kwetu ,Smith sio player mbaya but sio wa kumtegemea kwenda top 4 never
Leo tarehe 14 na same stories za usajili zinataka kujirudia
 
Hauwez kuandika point kama unatumka tecno
Badilisha kwanza simu
Hauwez kuingia top 7 kama wachezaji wakina Alex ligazeti ,Dani sinaubaloz , Eddie angetiwa ,piere alimiliki albumyangu,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Mpira ni kitu rahisi. Ni kwamba Tierney, Saka, Laca na Emile ndiyo ushindi wa timu minus mmoja hapo hii timu inahaha
 
Aya rerooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nafasi ya kumi inatafutwa kwa tochi [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]View attachment 1677754
Nimechelewa auuu

ha
haha
hahaha
hahahaha
hahahahaha
hahahahahaha
hahahahahahaha
hahahahahahahaha
hahahahahahahahaha
hahahahahahahahahaha

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Castr = Aaron Arsenal
Kitoabu ndiyo mtu wa kwanza kulazimisha mimi nina id mbili, nilimuambia aitaje hakuitaja.

Mimi simjui Aaron Arsenal na sina id nyingine.

Kwa anavyojitangaza Aaron Arsenal ni mjasiriamali anadeal na sports wear, kama umeona nyuzi zake akiwaongelea mapasta aliosoma nao utaona pia anaelezea alikutana nao kimasomo nje ya Dar. Mimi sijaajiriwa, sijajiajiri na ukienda jukwaa la ajira utakuta uzi wangu wa kuomba ajira nikiwa nimetaja vituo vyangu vya elimu ambavyo vyote vipo Dar.

Pia humu humu kwenye uzi wa Arsenal mimi na yeye tumekorofishana sana, ilianza kubishana naye juu ya swala la Emery, yeye akisema Emery hafai mimi nikisema agewe muda, likaja la Ozil. Ikaja akatajwa kama mdini n.k.

Nikaja kubishana naye juu ya role ya Benzema na Ronaldo Real Madrid.

Na mara ya mwisho nilitofautiana na kila mtu humu baada ya kusema usajili wa Partey ni wa kukurupuka. Walioongoza kunikashifu alikua yeye Aaron Arsenal na Nyamuswa huyu Nyamuswa alikua anakashifu na kupotea. Mimi nikaacha kuja hili jukwaa kipindi hicho bado hatujaanza kupoteza mechi.

Nikaja kua quoted na member nimemsahau, akawa anauliza juu ya AM nilipojibu Aaron Arsenal kama kawaida akaja kuniambia mimi sijui kitu AM atakua Ceballos.

Ukaanza ubishi mpya hapa, huku nikionyesha kwanini Ceballos hawezi kua AM. Walioungana naye katika kudai Dani ni AM sipo sure ila nahisi ni gspain

Uthibitisho wa ukweli juu ya madai yenu upo humuhumu. Lakini watu tunatofautiana uelewa, wengine tutajifunza zaidi wengine mtaelezea hisia zenu hata kama hamna uhakika nazo.

Either way kama mnaweza kuwathibitishia moderators kwamba hizi id, Castr na Aaron Arsenal ni za mtu mmoja mimi naona waziunganishe tu.
 
Na mara ya mwisho nilitofautiana na kila mtu humu baada ya kusema usajili wa Partey ni wa kukurupuka. Walioongoza kunikashifu alikua yeye Aaron Arsenal na Nyamuswa huyu Nyamuswa alikua anakashifu na kupotea. Mimi nikaacha kua hili jukwaa kipindi hicho bado hatujaanza kupotrza mechi.

Nikaja kua quoted na member nimemsahau, akawa anauliza juu ya AM nilipojibu Aaron Arsenal kama kawaida akaja kuniambia mimi sijui kitu AM atakua Ceballos.

Ukaanza ubishi mpya hapa, huku nikionyesha kwanini Ceballos hawezi kua AM. Walioungana naye katika kudai Dani ni AM sipo sure ila nahisi ni gspain

Uthibitisho wa ukweli juu ya madai yenu upo humuhumu. Lakini watu tunatofautiana uelewa, wengine tutajifunza zaidi wengine mtaelezea hisia zenu hata kama hamna uhakika nazo.

Either way kama mnaweza kuwathibitishia moderators kwamba hizi id, Castr na Aaron Arsenal ni za mtu mmoja mimi naona waziunganishe tu.

Watu wanashindwa hata kutofautisha taste za maandishi?

Binafsi namwona Aaron kama reporter, huku wewe ukifanya kazi ya uchambuzi.
 
Kitoabu ndiyo mtu wa kwanza kulazimisha mimi nina id mbili, nilimuambia aitaje hakuitaja.

Mimi simjui Aaron Arsenal na sina id nyingine.

Kwa anavyojitangaza Aaron Arsenal ni mjasiriamali anadeal na sports wear, kama umeona nyuzi zake akiwaongelea mapasta aliosoma nao utaona pia anaelezea alikutana nao kimasomo nje ya Dar. Mimi sijaajiriwa, sijajiajiri na ukienda jukwaa la ajira utakuta uzi wangu wa kuomba ajira nikiwa nimetaja vituo vyangu vya elimu ambavyo vyote vipo Dar.

Pia humu humu kwenye uzi wa Arsenal mimi na yeye tumekorofishana sana, ilianza kubishana naye juu ya swala la Emery, yeye akisema Emery hafai mimi nikisema agewe muda, likaja la Ozil. Ikaja akatajwa kama mdini n.k.

Nikaja kubishana naye juu ya role ya Benzema na Ronaldo Real Madrid.

Na mara ya mwisho nilitofautiana na kila mtu humu baada ya kusema usajili wa Partey ni wa kukurupuka. Walioongoza kunikashifu alikua yeye Aaron Arsenal na Nyamuswa huyu Nyamuswa alikua anakashifu na kupotea. Mimi nikaacha kuja hili jukwaa kipindi hicho bado hatujaanza kupoteza mechi.

Nikaja kua quoted na member nimemsahau, akawa anauliza juu ya AM nilipojibu Aaron Arsenal kama kawaida akaja kuniambia mimi sijui kitu AM atakua Ceballos.

Ukaanza ubishi mpya hapa, huku nikionyesha kwanini Ceballos hawezi kua AM. Walioungana naye katika kudai Dani ni AM sipo sure ila nahisi ni gspain

Uthibitisho wa ukweli juu ya madai yenu upo humuhumu. Lakini watu tunatofautiana uelewa, wengine tutajifunza zaidi wengine mtaelezea hisia zenu hata kama hamna uhakika nazo.

Either way kama mnaweza kuwathibitishia moderators kwamba hizi id, Castr na Aaron Arsenal ni za mtu mmoja mimi naona waziunganishe tu.
Ndugu yangu haina haja ya kujieleza saana, watu wanaamua kusema kila wanachotaka, wanaamua kusikiliza kila wanachotaka na sio kinachosemwa..

Hazihitajiki nguvu za ziada kujua wewe na aroon ni watu wawili tofauti.
Sasa iweje utumie miguvu mingi kuaminisha minitu isotaka kuamini

Ukiacha wagande na wanachokisema we unapungukiwa nini, vingine vipite, maisha yaendelee ndugu yangu.

#VUNGA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom