Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hata mkishinda hamwendi popote, mnabaki hapo hapo nafasi ya 11.

Kiufupi hamna sumu yeyote.
Kama paka nyinyi ni paka kibogoyo, hamng'ati wala nini!
 
Dakika ya 44 ngoma bado ngumu hapa, sio washika manati wala washika msalaba, mpaka sasa hakuna alie liona lango la mwenzie
 
Suala la usajili naona limeishia njiani kimyaaaa,pengo la Tierney ni kubwa sana kwetu tubane pumbu mechi iishe salama
 
Back
Top Bottom