Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Looks like Willian at No.10 behind Pepe, Auba and Martinelli. Leno starts in goal.
Mmmmh sawa mkuu!!!Tukiongelea traits na workrate za AM za anavyotakiwa kua kuna wachezaji mi naamini wanaweza kucheza pale kwenye AM wa kwanza ni Pepe halafu mwingine ni Willian.
Ila tukitumia 4 2 3 1 kisha Pepe akakaa kama AM hapo maana yake RW mwenye domination ya mguu wa kushoto tunakosa, sikumbuki kama tuna foward Left footed mwingine zaidi ya Saka na Pepe. So tutalazimisha right footer wawe LW na RW.
Kingine mi niliwahi kusema kua timu yetu inamiliki mpira ila kuscore ndiyo tatizo, na hiyo ni kwavile wachezaji walikua hawaendi mbele, yaani unaona back passes nyingi kuliko forward passes. Mechi ya leo asipocheza Emile angalau tutaona timu sasa hivi ina akili gani.
Sawa mkuu!!
Line hii ñdiyo ninayoipenda sasa wakafanye mapinduzi ndani ya uwanja.
Mkuu umemuangalia Guendouzi???Laca alipungua makali msimu uliopita. Ilikua miyeyusho, mzito kwa kila kitu, kukaba, maamuzi, kushuti ilikua ni aibu kumtizama.
Msimu huu ameuanza same. Isipokua anascore ana uzito ule ule ila wakina Saka wanamforce katika baadhi ya mambo haswa maamuzi.
Laca wa msimu uliopita lile shuti alilopiga kwa Brighton ilikua ni mpira kupotea na asisogee kukaba. Hiki kitu nimeona kwa senior players wote.
Goli la Sala dhidi ya West Bromwich ni ushahidi.
Bellerin katoa pasi kwa Saka kisha hakufanya run kwenda mbele ingawa kulikua na nafasi badala yake akawa anarudi nyuma huku akiuomba tena. Means Saka angempa yangekua masihara ya siku zote.
Wakati Saka anapokea mpira pembeni unamuona Xhaka, Xhaka anaonyesha ishara ya kidole badala ya kutanuka na kusogea mbele ili agewe pasi.
Saka akatoa pasi kwa Emile na kufanya run ya kwenda mbele, hapo Xhaka bado kaganda na Bellerin yupo nyuma vilevile.
Emile akamrudishia Saka, kisha Emile akachomoka na kufanya run nyingine ya mbele.
Saka akampa Laca, Laca akatoa diagonal pasi ambayo ikakutana na Emile aliyekua amefanya hiyo run baada ya kumpa pasi Saka. Laca alivyotoa pasi akawa kama kasizi muda anasizi Saka akampita Laca fasta kwenda kwenye boks.
kisha Laca na yeye ndiyo akaanza kwenda mbele, hata hajafika mbali Emile alishatoa pasi kwa Saka na Saka akascore.
kubwa lao ni Auba. Hii movement yote inaendelea hata hakujaribu kujigusa kuingia kwenye box au kwenye 18 alikua mbali kabisa. A guy ameshangaa ile move ilivyokua goli limeingia akashangilia.
Yaani 4 seniors wameshindwa kubadilika. Kutofanya hizi runs ndiyo kumefanya Arsenal imiliki mpira ila scoreboard inatia aibu. Hizi runs za Emile ndiyo zilikosekana kikosi chetu.
Mimi nasema Guendouz arudi, akae pale mid game ambayo yeye, Saka, Tierney, Emile watakua pamoja halafu tuone fighting spirits zikiwa high kama kuna linaloshindikana
OK !!!Gabriel is on the bench.
Lete formation ya kikosi kinachocheza leo tuione;!!Looks like Willian at No.10 behind Pepe, Auba and Martinelli. Leno starts in goal.
Kikosi kiko poa Mkuu !!! Tusubiri dakika 90 tuone matokeo. Tunaomba mkuu tuletee update za mchezo hapa hapa.
Naona Arteta ana mapenzi makubwa sana na Willock may be kuna kitu wanapeanaSeven changes from West Brom...
Cedric and David Luiz start
Elneny partners Willock
Nico, Willian, Gabi, Auba in attacking


Naona Arteta ana mapenzi makubwa sana na Willock may be kuna kitu wanapeana![]()
Mkuu umemuangalia Guendouzi???
Willock is rubbish today
Hiyo namba aliyowekwa lazima umuone uchafu.Willock is rubbish today
Hiyo namba aliyowekwa lazima umuone uchafu.
Hata hivyo newcastle wanatupigia 5 4 1. Ni formation ngumu kwa tatizo letu la kutokua na AM.Afadhali aingie xhaka