Arteta angefanya kama Klopp. Angeanzisha first eleven ya kwenye ligi tu.
Ushindi umepatikana, Saka kaleta sana uhai.
Leo Arteta sub zimemkubali.
Sasa hayo mambo ya sub hayafai. Aanzishe tu first eleven kama liva.Ushindi umepatikana, Saka kaleta sana uhai.
Leo Arteta sub zimemkubali.

Mr Liverpool unamzungumziaje De Bryune wa Arsenal, kijana Emile Smith-Rowe. kama ulimuangalia vizuri.
Sasa hayo mambo ya sub hayafai. Aanzishe tu first eleven kama liva.
Huyu kijana mkuu ananikosha sana kwa kiwango chake kikubwa cha mpira.Kieran Tierney ‘The Iceman’
Jamaa anapata nickname mpya baada ya kuonekana akifanya adaptation ya haraka kwenye kipindi hiki cha baridi.
Huyu dogo amezaliwa nchini Scotland na kukulia kwenye klabu ya Celtic tangu akiwa mdogo.
Sasa kwa kawaida Scotland huwa na baridi kwa vipindi vingi. Hivyo ametokea kuzoeana na mazingira ya baridi kwa kipindi kirefu.
Sasa tunaona matokeo yake.
Kijana ameonekana kuwa mchangamfu sana hasa akiwa mazoezini, akiwa na ari ya kutosha. Jambo lililomfanya aperform vizuri sana kwenye game ya mwisho ya ligi v West Brom.
Ile game alikiwasha vibaya mno. Baada ya kupata goli, alisikika commentator akitaja jina la ‘The Iceman’
Tusubiri mengi kutoka kwake katika kipindi hiki.
Anatamani hiki kipindi cha baridi kisiishe huyu kijana.
View attachment 1673233
Huyu kijana mkuu ananikosha sana kwa kuwango chake kikubwa cha mpira.
Hiyo FA ina mwenyewe wa kudumu na anajulikanaLiverpool mwaka huu inabidi kupambana walau hata FA, huku kwingine ni mbinde sana msimu huu.
Hiyo FA ina mwenyewe wa kudumu na anajulikana
Baba tushakwambia tuna 10 games za kushinda straightTwende penati mazee.
He will prove to be better than Ashley ColeKieran Tierney ‘The Iceman’
Jamaa anapata nickname mpya baada ya kuonekana akifanya adaptation ya haraka kwenye kipindi hiki cha baridi.
Huyu dogo amezaliwa nchini Scotland na kukulia kwenye klabu ya Celtic tangu akiwa mdogo.
Sasa kwa kawaida Scotland huwa na baridi kwa vipindi vingi. Hivyo ametokea kuzoeana na mazingira ya baridi kwa kipindi kirefu.
Sasa tunaona matokeo yake.
Kijana ameonekana kuwa mchangamfu sana hasa akiwa mazoezini, akiwa na ari ya kutosha. Jambo lililomfanya aperform vizuri sana kwenye game ya mwisho ya ligi v West Brom.
Ile game alikiwasha vibaya mno. Baada ya kupata goli, alisikika commentator akitaja jina la ‘The Iceman’
Tusubiri mengi kutoka kwake katika kipindi hiki.
Anatamani hiki kipindi cha baridi kisiishe huyu kijana.
View attachment 1673233
Sana tu anajituma sana katika majukumu yake na anajitambua yupo hapo kwa kazi za kiume!!!He will prove to be better than Ashley Cole
Sawa mkuu ataanza!!Mtihani unaofuata ni wa Crystal Palace. Hua wanacheza 4 4 2 ila kama watawaonea gere New Castle basi na wao watapaki basi.
Utakua uamuzi mzuri kama kikosi kitakua kama cha jana. Lakini mpaka tunakutana na Palace nafikiri Magalhaes atakua karudi na Thom karudi, Martinell nasikia kaumia. Kama ni minor injury naye atakuepo.
Naona Pablo Mari ana upepo na clean sheet, Luiz kacheza jana ili Holding asichoshwe sidhani kama Arteta ana hamu na Luiz, nawaza Magalhaes akirudi kati ya Mari na Holding nani atampisha huyu jamaa?
Nilisema Elneny atachukua namba ama ya Xhaka au Thom, akachukua namba ya Xhaka, Thom kaumia Xhaka akapata nafasi na anaonyesha kuimprove, workrate kubwa kuliko Elneny, asipokaza Elneny atajikuta analamba mkeka.
Lacazette ana upepo balaa anascore, anaassisst pamoja na udhaifu wake wa kutokua fasta ila anajikuta yupo eneo sahihi kwa muda sahihi na anatumia nafasi ipasavyo. Game na Crystal aanze.
As usual we should not change our winning team.
Nani akae bench kati ya Pablo na Rob? Pablo ni left footed, so is Gabriel, sidhani Mikel anaweza kuweka left footed wawili nyuma. Kama Gabriel anaingia I think Pablo will sit on the bench despite his excellent performance so far. If we stick with our winning team basi Gabriel akae bench, Je, Mikel atamuweka bench?Mtihani unaofuata ni wa Crystal Palace. Hua wanacheza 4 4 2 ila kama watawaonea gere New Castle basi na wao watapaki basi.