Gpili
JF-Expert Member
- May 18, 2020
- 2,179
- 2,084
Team kubwa ni ipi sasa hapoMkuu huoni wanacheza na timu kubwa

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Team kubwa ni ipi sasa hapoMkuu huoni wanacheza na timu kubwa

Leo tunajipigia tu! Ila hali ya hewa ni mbaya sana, tharuji imejaa uwanjani.. Napata mashaka wasije wakasema kesi inaahirishwa!.. Ngoja tusubiri tuoneAhsante mkuu... hawa West Brom leo wakubali kuwa daraja tu maana aina namna
Wachawi mko wengiHalf time mechi inafutwa hii..hali ya hewa imeshindikana. Inawezekana 2nd half wasirudi.
Siyo siri chief kama kipa wao amekua mwepesi kuanzia mechi tatu za mwisho. Beki ziko strong ila siyo yeye.Nakuheshimu sana kwenye jukwaa hili kwa sababu ya michango yako humu. Your comment ni kama vile tunafunga kwa sababu ya udhaifu wa Timu pinzani. Siamini hilo.
Auba sijui nini kimemkutaKwa kweli hadi sasa sielewi Aubameyang anafanya nini yeye na Bellerin. Tungekua na goli hata tano hadi sasa. Arteta toa Auba weka Martinelli
Auba sijui nini kimemkuta
Sure,Arteta wengi wanamsema aondoke ila binafsi naona Bright future na huyu dogoHawa vijana wapya wanaenda kuifikisha Arsenal mbali. Arteta Kocha
KasemajeHuyu big Sam inatakiwa apasuke hata 5 hivi,maana kaongea shit nyingi sana kuhusu arsenal
Kauli hii iliniumiza sana let's go the Gunners mpaka maji aite mma Mamamake huyu mzee unaweza kusema Arsenal atashuka Daraja?kweli?*** leo 6 zinamhusu