Gpili
JF-Expert Member
- May 18, 2020
- 2,179
- 2,084
Kipigo kipo pale pale come on West bromKikosi ni
Leno
Bellerin, Holding, Mari, Tierney
Ceballos, Xhaka
Saka, Smith Rowe, Aubameyang
Lacazette.
Nilisema natamani Ceballos au Pepe ahusike naona Ceballos kaanza.
West Brom wamerudia tena 4 1 4 1 na kipa wao yule yule. Kutokana na hili naamini tuna chansi ya kumdisappoint Sam.



Ngoja tuone moto wa vijana wetu leo tenaKikosi ni
Leno
Bellerin, Holding, Mari, Tierney
Ceballos, Xhaka
Saka, Smith Rowe, Aubameyang
Lacazette.
Nilisema natamani Ceballos au Pepe ahusike naona Ceballos kaanza.
West Brom wamerudia tena 4 1 4 1 na kipa wao yule yule. Kutokana na hili naamini tuna chansi ya kumdisappoint Sam.
SawaNinyi mshapigwa leo
WB 0 - 2 ArsWazee mtupe updates za Game... sisi tuliyo ndani ndani huku
Ahsante mkuu... hawa West Brom leo wakubali kuwa daraja tu maana aina namnaWB 0 - 2 Ars
Bao la kwanza Tieney, la pili saka.. Yote ni mabao ya kiwango ambayo tumekosa kwa muda mrefu. Hili la Tieney linaweza likawa bao bora la mwezi.. Ila theruji inamwagika kama mvua!..
Nakuheshimu sana kwenye jukwaa hili kwa sababu ya michango yako humu. Your comment ni kama vile tunafunga kwa sababu ya udhaifu wa Timu pinzani. Siamini hilo.Advantage yetu kipa wao