huo ni wepesi ambao sio Lila mchezaji anakuwa nao. Katika mpira kitu cha kwanza anachofikiria mchezaji na kukifanyia maamuzi mara nyingi ndicho kinakuwa sahihi zaidi kuliko yule anaebadilisha maamuzi lkn huwa inatokea mchezaji anabadilisha maamuzi na bado anakuwa sahihi zaidi. Wachezaji wa namna hiyo ndio tunawaona na kuwasema kuwa wana vipaji vya ajabu mfano wa watu hao ndio akina Messi, Ozil nk. Lkn pia kwa sasa pale Arsenal anaetegemewa kufanya hivyo vitu ni Saka, rejea mechi iliyopita goli la lacazette.Hili goli la Saka. Kwanini Lacazette alivyotoa ile pasi hakugeuka haraka na kuongeza options ndani ya box?
Huu uzito wake ndiyo ulifanya 4 4 2 ya Arteta ionekane janga.

