Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wewe mwenyewe unatakiwa urudishe ile I'd yako ya zamani.
Alafu katika mashabiki wenye imani na timu yao sisi Manchester United tunaongoza.

Wengi wa mashabiki wa Liverpool walihama miaka ya 2004 na kujiunga Chelsea.

Alkadhalika aseno kapoteza mashabiki wengi hapa miaka ya 2015, wengi wamekimbilia Manchester City.

Ila sio mashabiki wa Manchester United, sisi tunaamini zama zetu zitarudi, na ndio msimu huu tanaanza nao.
Hili ni tatizo la wengi tukiongozwa na chelsea na man u
 
Wewe mwenyewe unatakiwa urudishe ile I'd yako ya zamani.
Alafu katika mashabiki wenye imani na timu yao sisi Manchester United tunaongoza.

Wengi wa mashabiki wa Liverpool walihama miaka ya 2004 na kujiunga Chelsea.

Alkadhalika aseno kapoteza mashabiki wengi hapa miaka ya 2015, wengi wamekimbilia Manchester City.

Ila sio mashabiki wa Manchester United, sisi tunaamini zama zetu zitarudi, na ndio msimu huu tanaanza nao.
Hebu taja id yangu nyingine boss
 
Mushaanza tambo tayari.
aseno club salama? Ama mimi ndio sijui maana ya salama?
Hizi timu zinazowania kushiriki Uropa ndio wako hivyo.

Tambo ni nyingi kuliko uhalisia, . Na season hii hata nafas ya uropa hawapati.
 
Ila mkuu hapa wanaoongozwa kukimbia wakifungwa ni Chesi wakifuatiwa na ninyi. Huo ndo ukweli.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Tofautisha timu kufungwa mechi moja na kufungwa mechi saba mfululizo.

Arsenal ikipoteza game moja Mashabiki wa Arsenal hua tunakuepo humu tutajibu utani wa watu na kuonyesha ubovu wetu.

Wengi hawajarudi baada ya kuanza vibaya kwenye ligi.

Mashabiki wa chelsea na man u wakifungwa mechi moja utakuta wapo 2 au mmoja wanasema kocha hafai na wanatakiwa kusajili

Mashabiki wa liva wakisuluhu baadhi huandika kiingereza. Wakifungwa woooote huandika kiingereza.
 
Hizi timu zinazowania kushiriki Uropa ndio wako hivyo.

Tambo ni nyingi kuliko uhalisia, . Na season hii hata nafas ya uropa hawapati.
Sasa kusema mchezaji yupo klabu salama kukuza kipaji ni tambo?

Kusema klabu itanufaika na kipaji cha mchezaji ni tambo?

Unajua klabu ngapi zinazolea kipaji siku hizi? Huyo Kitoabu mimi najua hajui mpira ndiyo maana sijamuandikia yote haya
 
Wiki kadhaa nyuma tulihusishwa na Dominick kama AM anayekuja klabuni kisha Domi akaenda Leipzig, Arsenal haikupeleka hata ofa.

Kisha tukahusishwa na Isco. Ikasemwa kwamba Arsenal inaulizia uwezekano wa kumsajili Isco kwa mkopo. Juzi Arteta kaulizwa juu ya Isco akagoma kumuongelea. Mchezaji mwingine aliyegoma kumuongelea ni Dani aliporudi Madrid kabla hajarejeshwa Arsenal.

Saa hii tunahusishwa na Tariq Lamptey kwakua kuna uwezekano wa Bellerin kurudi Barcelona. Mustafi pia anatakiwa na Barcelona. Lakini tuna Soares RB mzuri tu ila hagewi game time, Lamptey siyo mbaya haswa kwa kupress na kufosi magoli ila Soares amesahaulika mno.

Pia tunahusishwa kumtaka kwa mkopo Vinicius wa Madrid siyo mbaya lakini sioni ulazima wa kua na Vinicius. Pia kwa jinsi zidane anamuamini vinicius sioni ikiwezekana.

Mchezaji mwingine ni Emi Buendia, huyu ni AM yaani katika interests zote hii ndiyo inaaddress tatizo letu. Hata hivyo bado hakuna kilicho rasmi kati ya kila tetesi hapo.

Niles anatakiwa na Atletico kwa mkopo, Atletico wamevunja mkataba na Diego Costa na inadaiwa Arsenal inamfikiria Diego Costa. Niles ameonyesha kutaka kwenda ATM mostly kwakua hapati game time. Niles hucheza RB, LB, CM na LMF lakini hajacheza games nyingi msimu huu.

Miezi miwili nyuma Arsenal ilizungumza na Aouar na wakakubaliana mazungumzo yasifanywe kupitia kwa kaka yake as dili lilifeli kutokana na kaka yake kuonyesha tamaa.

Hata hivyo bado hakuna mchezaji ambaye amekua strong linked na Arsenal so far. Kila kitu kinabaki kua tetesi.
 
Tofautisha timu kufungwa mechi moja na kufungwa mechi saba mfululizo.

Arsenal ikipoteza game moja Mashabiki wa Arsenal hua tunakuepo humu tutajibu utani wa watu na kuonyesha ubovu wetu.

Wengi hawajarudi baada ya kuanza vibaya kwenye ligi.

Mashabiki wa chelsea na man u wakifungwa mechi moja utakuta wapo 2 au mmoja wanasema kocha hafai na wanatakiwa kusajili

Mashabiki wa liva wakisuluhu baadhi huandika kiingereza. Wakifungwa woooote huandika kiingereza.
Ila kwa kweli awamu hii ni wewe uliyesimama imara kutuwakilisha hapa!.. Mechi saba mfululizo si mchezo kabisa. Nakumbuka kuna kipindi ulitetea sana kuwa Aour ni muhimu sana kwa kipondi hiki wengine tulikupinga lakini sasa imeonekana kabisa huko mbele hakuna creativity kabisa. Angalau toka dogo Smith-Rowe aanze kukipiga pale mbele tunaona kabisa timu inatafuta mabao... Nikupongeze kwa kusimama imara hapa jukwaani, wengine tuna roho ndogo tulikuea tunasoma comment tu!.. Tuombe Mungu tushinde mechi inayokuja maana najua Aaron atatokea baada ya mechi hiyo.
 
Kupingana inaruhusiwa wote tukiwa na sauti moja itakua komedi kidogo.

Game inayofuata itakua ngumu. West Brom walipaki basi kwa liva wakapata suluhu, liva pia ina tatizo la creativity kama Arsenal, wakaenda kushambulia kwa leeds wakala mkono.

Nahisi Sam atarudia mchezo wa kupaki basi na kwetu pia. Hivyo itakua ni swala la kumchinja kobe timing lazima.
 
Goli pekee dhidi ya Brighton ilikua laca ana mpira kisha emile akawa anakuja kwa kasi ndani ya box. Huyu academy ana desire na njaa ya mafanikio nafikiri anastahili game time zaidi.

Also kuna kipindi Arteta alijaribu kutumia 4 4 2 kwa kuwaweka edi na laca walikua wakistruggle mno kufunga the reason ni kwakua kati ya laca au edi hamna mwenye skills wala techs za kumuengage mwenzie kuelekea goli pia mid yetu ilionekana ikimpa pasi edi au laca wenyewe hawasogei, na edi na laca wakipata mpira wanawarudishia mid as hawana skills za 1 2

It was a disaster.

Ikiwezekana Arteta arudie kuchezesha Strikers wawili kwa formation ya 4 2 2 2 Auba na laca wawe mbele nyuma yao awe Emile na Saka na nyuma awe Elneny na Xhaka au Thom.
 
Ndugu yetu Aaron Arsenal sijui yuko wapi maana kwa namna vipigo vilifululiza hapo kati ilikua ni mtafutano tu, na hili jukwaa likavamiwa na watu ambao kwa asilimia kubwa walikua wakitukana tu badala ya kutoa uchambuzi au walau kuzomea kiungwana
 
Sead Kolasinac amesajiliwa kwa mkopo na Schalke 04. Akiumia Tierney ....
 
Kupingana inaruhusiwa wote tukiwa na sauti moja itakua komedi kidogo.

Game inayofuata itakua ngumu. West Brom walipaki basi kwa liva wakapata suluhu, liva pia ina tatizo la creativity kama Arsenal, wakaenda kushambulia kwa leeds wakala mkono.

Nahisi Sam atarudia mchezo wa kupaki basi na kwetu pia. Hivyo itakua ni swala la kumchinja kobe timing lazima.
Mimi naamini hii mechi tutashinda japo kwa mbinde.. Tukishinda hii mechi tutarudi relini moja kwa moja.. Uwepo wa Saka, martinel, Rowe na pablo mali umetupa energy kubwa sana, soon hata auba ataanza kuscore..
 
Kocha wa West Brom katishiwa kibarua atakua ana hasira si mchezo.
 
Game ya juzi tulimaliza kipindi cha kwanza tukiwa na shot moja off target aliyopiga Xhaka. Kipindi cha pili ilikua kila mmoja anapiga within five minutes tukawa tushapiga shots nne players tofauti tofauti.

Hii mentality ya anayeweza kuscore ascore asimsubiri Auba ni ya muhimu kipindi hichi ambacho tumeachwa points sita kumtoa alipo kibonde wetu chelsea.

Imani yangu ni kwamba tukisajili AM na kikosi kisikumbwe na majeruhi tunamaliza top four. Kama tukisajili nitakuja kushare ninachoamini.
 
Naamini tutasajili
 
Back
Top Bottom