Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

THIS IS UNITED...2ND PLACE

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20201230-005547_All%20Goals.jpg
 
Kabla mechi haijaanza ilikua top scorer wa Brighton ni Maupay akiwa na magoli 5 na wa Arsenal ni Laca akiwa na magoli 4. Ila wote walilambwa mkeka.

Arteta akaanza kwa kumtoa Martinell na kumuingiza top scorer wake, hakumuangusha, akascore goli la pekee la ushindi. Brighton ikafuatia kwa kumuingiza top scorer wake too bad bahati haikua upande wao.

Auba ajiangalie.
 
Pablo Mari katubeba mno jana. Ana average ratings kubwa kuliko mchezaji yeyote kwa mechi ya jana si kwa Arsenal wala Brighton.

Now kama Mari anaonyesha performance hii kwa kuzingatia stats za alipotokea yeye na Saliba this means tuna beast mwingine of a CB bado hajawa unleashed.

Elneny anaperform average game ya pili hii ni rahisi kutoona shida timu inaposhinda ila akaze Thom atarudi soon.

Auba bado ana kitete, next game na West Brom. Sam baada ya kulazimisha suluhu na liva akasema 'nikigewa wachezaji wachache wa gharama naweza kufanya ambacho klopp anafanya, ukimpa klopp wachezaji nilionao hatoweza kufanya nilichofanya leo usiku huu'

Pengine Bielsa kwa kutotaka kusemewa shombo akashusha kipigo kikali kwa kupata magoli first half ambayo Sam huitumia kulay low.

Arteta agundue hilo. Awe na intensity throughout and we shall secure a win.
 
Umefanya vizur kuwaletea huku huku kwao, maana kule kwetu hawawezi tua.
THIS IS UNITED...2ND PLACE

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1662524
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom