Vip mzee leo unashinda?Leo tukikikosa hiki kibonde chetu jamani tukatambike na tumchague mbana pumbu mpya.
Wazee hiki kikosi shit.
Huyu Mari siyo mbaya lakini hana uzoefu.
Arteta kaweka watu watatu nyuma ambao wote hawana uzoefu na ligi just fighting spirits.
Kisha kampa namba Smith Rowe huyu ni AM by nature yaani wakati tunalalamikia AM angeweza mtumia lakini unadhani kwanini kamtumia leo?
Ili hata akifall ionekane anawafavor academy so wanaweza mvumilia.
Martnell katokea majeruhi, Mari katokea majeruhi. Pepe kwanini asingekaa kwa Smith kisha Smith aende kwa Martnell?
Leo tutafute mbana pumbu mpya.
Utakua huijui Arsenal. VictoryVip mzee leo unashinda?
Kinachonishtua ni kutosikia any move is made toward solving our lack of standard players.Nilisema arteta hana jipya, uwezo wake wa kujenga timu umefikia mwisho. Something needs to be done quickly
Naona mmepewa refa wenu mburukenge Taylor aliyewapa kombe la FALeo tukikikosa hiki kibonde chetu jamani tukatambike na tumchague mbana pumbu mpya.
Ulichoongea sizani Kama kinatoka moyoni.Utakua huijui Arsenal. Victory
Baba mi ninachojua chelsea kibonde wetu jitahidi tu ukionee hiki kikosi.Naona mmepewa refa wenu mburukenge Taylor aliyewapa kombe la FA
Umeanza ubishiUlichoongea sizani Kama kinatoka moyoni.
Ngoja mechi iisheThe greater problem at Arsenal has been the recruitment. It's been poor. When they signed Nicolas Pepe for £72m they didn't really need him. They needed to sort it out at the back. Looking at them and some players, they don't seem that bothered they're losing games. Lawro