Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

IMG-20201223-WA0009.jpg
 
kuna washabiki wa arsenal huku wamejificha kabisaa daah kweli
MAREHEMU ALIPENDA SANA ANASA NA KUZARAU WENZAKE

naomba tuimbe wimbo wa manu glory glory man u
 
Unamaanisha niame Masaki niamie Charambe!
Sasa hii manure ndo yakunitisha mimi? Umempiga mvimba macho saiv mumesahau Ole keshawapeleka europa ..bad na huko mtapigwa tu hakuna namna.
Achana na timu hilo pasua kichwa njo darajani kushinda ni hulka yetu..
#CFC
 
Nikiwa kama wakala wa Chelsea nchini Tanzania, nasema hivi 'arsenal tunaliwa kesho'
 
Back
Top Bottom