Yuzo mawe
JF-Expert Member
- May 31, 2019
- 494
- 551
Hatari sana. Game nzuri sana.Tena chelsea wako contained vizuri tu, kabla ya mpira nilikuwa namwambia jamaa yangu kwamba Leo watu watashangaa Asno anashinda vizuri tu
Leo dunia nzima inawaombea mshinde. Mpaka sasa ushindi mnao mkononi, labda muutupe wenyewe. Mmetia sana huruma safari hii.Wakati naangalia kikosi sofascore kilionyesha tunacheza 3 4 3 na Emile kama RWF ndiyo maana nikasema juu ya yeye kua AM naona hatimaye kamtumia
🤣🤣Chelsea are playing with no intensity, they are being outfought and outrun by Arsenal who look the hungrier team who want it more. A lot of these Chelsea players look like they have been eating to much Christmas dinner.
Mimi nilisema vibonde wetu ni wawili man u na chelsea hawa hua hatuwaachiLeo dunia nzima inawaombea mshinde. Mpaka sasa ushindi mnao mkononi, labda muutupe wenyewe. Mmetia sana huruma safari hii.

