computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,479
- 6,039
CorrectHii ndo shida ya kukurupuka Kutoka kunya na kuwahi kukomenti bila kusoma maelezo!
Mimi nilichomaanisha hapo ni kwamba hayo matokeo hata mmiliki anayafurahia ndo maana mpaka dakika hii Arteta bado anadunda hapo Arsenal!
Sababu ya mmiliki kuyafurahia matokeo anafahamu kabisa hakuna chochote alichokifanya kwenye timu hivyo haimuumi!,na ndo maana nikasema "Hakuna mmiliki ambaye anajua ametoa pesa za usajili wa wachezaji wazuri halafu timu ifanye vibaya aendelee kumvulia kocha",HAYUPO!
Hivyo haya matokeo hata mmiliki anayafurahia na ndo maana Bado Arteta bado anadunda maana anajua hata akimfukuza Arteta yeyote atakayekuja mambo yatakuwa haya haya!
ARTETA HAONDOKI LEO WALA KESHO HAPO ARSENAL,BADO YUPO YUPO SANA KWA MUJIBU WA EDU
We unadhani Edu hii jeuri ya kusema Arteta bado yupo sana hapo Arsenal anaipata wapi?,Hivi tajiri kama Abramovich utampelekea huu usenge akuvumilie?,Tajiri gani aliyeweka pesa yake kwenye timu ambayo inampa faida umpelekee huu usenge?
TATIZO LA ARSENAL NI MMILIKI SIYO KOCHA.
uko sahihi kabisaHii ndo shida ya kukurupuka Kutoka kunya na kuwahi kukomenti bila kusoma maelezo!
Mimi nilichomaanisha hapo ni kwamba hayo matokeo hata mmiliki anayafurahia ndo maana mpaka dakika hii Arteta bado anadunda hapo Arsenal!
Sababu ya mmiliki kuyafurahia matokeo anafahamu kabisa hakuna chochote alichokifanya kwenye timu hivyo haimuumi!,na ndo maana nikasema "Hakuna mmiliki ambaye anajua ametoa pesa za usajili wa wachezaji wazuri halafu timu ifanye vibaya aendelee kumvulia kocha",HAYUPO!
Hivyo haya matokeo hata mmiliki anayafurahia na ndo maana Bado Arteta bado anadunda maana anajua hata akimfukuza Arteta yeyote atakayekuja mambo yatakuwa haya haya!
ARTETA HAONDOKI LEO WALA KESHO HAPO ARSENAL,BADO YUPO YUPO SANA KWA MUJIBU WA EDU
We unadhani Edu hii jeuri ya kusema Arteta bado yupo sana hapo Arsenal anaipata wapi?,Hivi tajiri kama Abramovich utampelekea huu usenge akuvumilie?,Tajiri gani aliyeweka pesa yake kwenye timu ambayo inampa faida umpelekee huu usenge?
TATIZO LA ARSENAL NI MMILIKI SIYO KOCHA.
Mbona Kama unazidi kuwatonesha kidondaNa next ni Chelsea.
Jamani poleni
🤣🤣🤣🤣🤣🤣[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23]
Hivi baada ya Pepe kusawazisha kwa tuta, Wachezaji wa Arsenal waliukimbilia mpira nyavuni na kupeleka katikati ili iweje?
[emoji2379][emoji2379]
Huwezi amini sijakuelewaKwaio mkuu ile average team ya Chelsea ya msimu jana iliyojaa makinda ilikua inashinda haikua Lampard, ni wachezaji.
Mtasema mengi, ila Arteta ni trash. Mmasai ole sendeka kwa mfano ni miles away kutoka Arteta.
Ipo hivi, kocha anapofukuzwa team huwa ina react, baada ya muda inarudi katika real situation yake.
Hilo ndo lilitokea kwa Arsenal baada ya kumu appoint Arteta.
Ukimzungumzia Arteta wala usimtaje kabisa Ole mmasai na Lampard. Mikel mfananishe na akina Slaven Bilic huko
Mkuu huu ndo muda wa kupiga pesa sasa..[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787] Kama mimi mkuu
Tena Everton win & Over 2.5 [emoji23][emoji23]
I
Yees, we need an attacking midfielder but not Ozil. Ozil alikuwepo years back na kila tukibanwa yeye ndio namba moja alikuwa flop kwenye mechi husika, kwa mtu anayejua kuanalyse game Ozil ni very poor tactical player. He has got great talent, but it's very unfortunate that his talent has blinded himself, labda tu anahusishwa kwa kuwa yuko bench pale na analipwa rundo la mshahara ila Ozil is even part of the problem with his bench warming status.
Aisee#COYG
IS NOT OVER UNTIL IT'S OVER,
Leo tunarudi uwanjani tena, nasema hivi leo hawataamini
Laana ya Ozil itawamaliza.Kesho tunamuombea njaa Brighton vs Sheffield United, kweli kutoka kuwa wapinzani wa Chelsea,spurs, Nyumbu leo tunashindana na Brighton, aaa Mamamake siamini