wakati ighalo ananunuliwa kulikua na wachezaji wanaojua zaidi yake au walikuja baadaye?Nketiah huyu huyu anae pewa nafasi na Arteta ndio wa kumfananisha na Ighalo ambaye apewi nafasi kuthibitisha uwezo wake?
Ighalo anajua, tatizo timu anayo chezea ina wachezaji wanajua kuliko Ighalo.
Ila na kuthibitishia kua Ighalo anamuweka nje Magazeti.




via @DieRotenBullen