[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] acha kutufurahishaMchezo wa Jana dhidi ya Burnley tulicheza vizuri mno hadi Granit Xchaka alipopata kadi nyekundu kwa kushindwa kujizuia hasira zake dhidi ya mchezaji wa Burnley.
Binafsi naamani timu yetu haitashuka daraja na wala haitatokea Arsenal kushuka daraja, sisi ni wajuu. Hakuna wa kutushusha chini, hiki tunachopitia ni kipindi cha mpito ambacho hakina muda mrefu tutakivuka.
Hawa ambao wanatabiri eti Arsenal mwaka huu inashuka daraja, wanaota ndoto ya mchana. Tumecheza almost mechi 12, bado tuna mechi zaidi ya 26.
Tuna nafasi ya kumaliza top 4 mwaka huu iwapo tutafanyia kazi mapungufu madogo yaliyopo. Bado tunakikosi kizuri zaidi ya timu ya Man utd, Chelsea, pamoja na Spurs waliopo juu yetu.
Tuendelee kuisupport timu yetu.
Forever Gunners [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
Sawa Mkuu, but natumai hiki kikombe tutakivuka salama licha ya changamoto zilizopo.13 points siyo mechi 4 maximum, mechi nne ni 12 points.
Arsenal hawezi kushinda game 5 halafu Tottenham na Liverpool wapoteze 5 kila mmoja.
Kwenye hesabu kuna kitu wanaita extrapolation:
Tottenham/Liverpool wana points 25 kati ya 36 (12 games points). Nyie Arsenal mna 13 points out 36.
Mechi 38 ukishinda zote max points ni 114.
Sasa ukifanya hiyo extrapolation unapata:
Tottenham/Liverpool: 25/36 x 114 = 79.
Arsenal 13/36 x 114 = 41.
On assumption kwamba kila kitu kitaenda kama kinavyoenda.
NB: Kwa mahesabu hayo hapo juu, simwoni Arsenal akivusha points 56 kwa michezo iliyobaki.
Sawa Mkuu, but natumai hiki kikombe tutakivuka salama licha ya changamoto zilizopo.
Juu tunarudi mapema January 💪💪💪
Willian analipwa zaidi ya 200k per wikiYule kipa Martinez tulifanya kosa kubwa kumuuza wakati golini umeacha shati tu lenye viraka. Sisi kama Arse8 halisi tunasema kwa bei ya Martinez tuliyomuuza nayo tumepigwa pale..
Partey tumepigwa..
Auba baada ya kudondosha wino sasa anakunja £300k+ hivyo tumepigwa..
Willian alijua kusoma nyakati akaona pa kuchukulia penshen ni kwetu Arse8 hivyo bila kusita akaja, sasa anakunja £100k+ tumepigwa..
Pepe tunayelipa kwa mafungu tumepigwa..
Arteta tumepigwa...
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sawa, hv mpo nafasi ya ngp vileee[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Goli lenyewe lilikua ubishi wa leno na auba haliumi sana
15Sawa, hv mpo nafasi ya ngp vileee[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hapo game ya kwanza kabisa kushinda ni ya Chelsea, inakuja game ya Carabao na hao wengine watalamba dawa kama kawaidaKwaa hili linalowakabili, labda Mungu afanye miujiza ,unless otherwise hamtoboi game hata Moja[emoji3][emoji3][emoji3]
View attachment 1649598
Unajua points lakini? Au unacheka tu kama auba alivyomaliza ukame wa mabao[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi bhn wacha utaniua kwa cheko wewe [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Unajua points lakini? Au unacheka tu kama auba alivyomaliza ukame wa mabao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo game ya kwanza kabisa kushinda ni ya Chelsea, inakuja game ya Carabao na hao wengine watalamba dawa kama kawaida
Unapeeenda mwenyeweMkuu, kwangu mimi, wewe ndie shabiki wa Arsenal hapa JF.
Kwanza nina imani hii timu haujaipendea jersey kama Dully Jr na genge lake.
Endelea kua na moyo kama huo ipo siku zitarudi zile zama za kuchukua ubingwa bila kufungwa.
Siku ile tunakupiga FA ile ilikua Arsenal ya kuungwa ungwa kwahiyo tulia hapohapo uone utakachojipatia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haya maneno yako hayana tofauti na ndoto za alinacha. Endelea kuota boxing day nikupe zawadi yako ya Christmass
Arse[emoji533][emoji108][emoji97]
Wewe sio wa kutuombea Mabaya namna hiyo.Mara zote ndoto za mchana zinakuwa hivyo, sikushangai.
Wewe sio wa kutuombea Mabaya namna hiyo.
Kama tunavumilia maumivu ya msoto mkali wa maisha, stress za ndoa kwa miaka na miaka sembuse Arsenal hii ambayo kuanzia January inarudi kileleni.
Kama nilivumilia kipigo cha 8-2 kutoka kwa Man utd, kipigo cha 5-1,5-1, kutoka kwa Buyern sishindwi kuvumilia matokeo haya ya mpito.
Wacha kama kuniua Arsenal na iniue mwaka huu💪💪💪
Muda wenu wa kuzomea, but muda wetu wa kushangilia unakuja💪💪Sawa mkuu, kama nilivyoandika juu kule, mimi ni kuzomea na kushangilia.
Aisee, mkuu una moyo sana. Safi sana ila bahati mbaya ni kuwa hakuna matokeo mazuri bila proper planning. Timu yenu iliingia kwenye project na Arteta kichwa kichwa bila kujipanga vizuri.Mchezo wa Jana dhidi ya Burnley tulicheza vizuri mno hadi Granit Xchaka alipopata kadi nyekundu kwa kushindwa kujizuia hasira zake dhidi ya mchezaji wa Burnley.
Binafsi naamani timu yetu haitashuka daraja na wala haitatokea Arsenal kushuka daraja, sisi ni wajuu. Hakuna wa kutushusha chini, hiki tunachopitia ni kipindi cha mpito ambacho hakina muda mrefu tutakivuka.
Hawa ambao wanatabiri eti Arsenal mwaka huu inashuka daraja, wanaota ndoto ya mchana. Tumecheza almost mechi 12, bado tuna mechi zaidi ya 26.
Tuna nafasi ya kumaliza top 4 mwaka huu iwapo tutafanyia kazi mapungufu madogo yaliyopo. Bado tunakikosi kizuri zaidi ya timu ya Man utd, Chelsea, pamoja na Spurs waliopo juu yetu.
Tuendelee kuisupport timu yetu.
Forever Gunners [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]