Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Maforward ndiyo walinzi namba mbili wa set pieces, baada ya CBs.
Mafoward, na kwa namba aliyocheza auba jana na tammy, wanatakiwa wasubirie mpira kwa ajili ya counter au kucheza one two na atakayetoka na mpira.
 
Mafoward, na kwa namba aliyocheza auba jana na tammy, wanatakiwa wasubirie mpira kwa ajili ya counter au kucheza one two na atakayetoka na mpira.
Mpira wa Sasa ndio unataka hivyo hayo maelezo yako Ni ya kipindi Cha zamani.
 
Inawezekana una hoja ya msingi ila hebu fafanua shida ya mmliki iko wapi ukizingatia msimu uliopita Arteta alipewa karibia wachezaji wote aliohitaj.
 
Time will tell
 
Aise niko down mpaka najiona sina raha na kitu chochote kile! Niko confused as well about Signor Arteta, apewe muda au tumkimbilie Allegri?!!
What a mess, nachekwa mtaani, pub hata na wafanya biashara wenzangu, currently am having little nightmare in my life, shit....
 
Pole bro
 
Baada ya kufungwa na Burnley tena Emirates kwa Burnley ambaye hakuwah kushinda hapo zaidi ya miaka 40 kwa sasa Arsenal inahitaji kocha mpya(narudia kocha mpya)tena angepatikana leo ,sioni kama J5 tutashinda hilo silioni kabisa timu imeshaanguka na jahazi linazama style ya uchezaji umeshajulikana kocha hana mbinu mpya hana zaidi ya kupiga cross hana cha kuoffer au plan B hana sasa unategemea kutakuwa na jipya na ukiangalia body language za wachezaji unaona wamekata tamaa

Kwa sasa tunapigania KUTOSHUKA DARAJA kuliko kwenda TOP 4 ambayo nafasi ishapotea hata mwaka haujaisha huo ndo ukweli kwa jinsi tunavyofungwa mfululizo hatuna utofauti na Sheffield United, West Bromwich au Fulham na Brighton tena tushukuru Mungu hao nao wanafungwa kama sisi wangeshinda mechi kadhaa tungekuwa wa 18 kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…