Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 38,245
- 76,821
Kama haukumbuku mara ya mwisho kutoa assisst inamaanisha hua hauangalii mechiCeballos na Yaya Sanogo licha wanacheza position tofauti but hawana utofauti wa viwango,ceballos assist ya mwisho sijui aliitoa mwaka gani nimesahau