Zidane aligewa game ya leo dhidi ya Sevilla kama mwamuzi wa abaki au aende. Akapanga kikosi ambacho ndiyo Madrid tunayoijua nadhani Bale angekuepo na yeye angepangwa.
Ameshinda moja bila ila kachezewa mpira hadi aibu. Possession wamezidiwa Sevilla ana 63% mashuti wamezidiwa yaani wako hoi.
Game ya mwisho uefa anacheza na Monchengladbach anatakiwa ashinde ili asonge mbele la sivyo tutakutana naye europa.
Muwe mnaelewa tukisema timu zote zinastruggle kua kwenye form.