Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kwa dalili zinavyoonekana nyie mtaipita ile record yetu ya miaka 30 bila kombe la EPL.

Mpaka sasa mnaenda 17 na sioni dalili za muda mfupi wala mrefu za nyie kutaka kuchukua ubingwa.
Arsenal
sio team ya kuchukua epl, epl inachukuliwa na team zinazowekeza Arsenal inawezakuchukua labla isishiriliki ligi moja na Chelsea, Liverpool, Man City na Man u
 
Duh! Hii timu mzimu ulio washika ni bora ule wetu ulioisha juzi juzi hapo.

Tatizo la hii timu binafsi naona liko kwa tajiri, kitu muhimu kwake ni kutengeneza faida tu, miaka nenda miaka rudi.

Sidhani kama ana mpango wowote wa kuwekeza kwenye timu ili ipate ubingwa au matokeo endelevu.

Mpaka pale timu itakapouzwa kwa tajiri mwenye uhitaji wa matokeo uwanjani ndipo Arsenal ya miaka ya 1997 - 2006 inaweza kurudi.
 
Sidhani mkuu. Jana nlileta takwimu hapa, ulizisoma???
 
Sidhani mkuu. Jana nlileta takwimu hapa, ulizisoma???

Niliziona, kuna namna ambayo uwekezaji kwa timu inayotaka kuchukua ubingwa inatakiwa iwe.

Mahitaji ya kocha yanatakiwa kutimizwa kwa usahihi, Ile list yako haiweki wazi kama walionunuliwa walikuwa exactly waliohitajika na ilikuwa kwa muda sahihi.
 
Tafuta interview ya Arteta baada ya usajili kufungwa.

Utamsikia anasema he is satisfied with the business done.
 
Tafuta interview ya Arteta baada ya usajili kufungwa.

Utamsikia anasema he is satisfied with the business done.

Huwa ni makocha wachache sana ambao wanaweza kusema kwamba tajiri hajatoa fedha za usajili.

Kama unakumbuka hata Wenger hakuwahi kulalamika kwenye public kuhusu ubahili wa tajiri. Lakini alivyokuja Unai pesa ikawa haitoki kwa wakati ndo tukaanza kusikia malalamiko.
 
Adjustments.jpg
 
Baada ya game na Villa Arteta alisema hajawahi kuona tukicheza 'teamlessly' kama siku ile. Nina uhakika baada ya game na Leeds alinotice same thing.

Timu iliyokamilika ikipata red tena kwa winger hua siyo mwisho wa mashambulizi. To be fair kwa pace ya Leeds as a team na sisi nilifikiri tungefungwa, plus ile red nikajua tutafungwa.

Turns out Leeds wana ugonjwa kama wetu hawana creativity zaidi ya crosses naamini hiyo ndiyo sababu tulisurvive.

Anyway it also means tuna defense inayoanza kujielewa. Pepe ana desire ya kubadilika agewe namba na leo tuone itavyokua.

Once nilisema timu nyingi zinaisaka form msimu huu. Itakua kwa Arsenal inayotaka jijenga from scratch?
 
Back
Top Bottom