Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Aise hii timu Coach Arteta kajikaba mwenyew kweny usajil....Nahs inaweza mwarbia profile yake mwanzoni tu.
 
Naangalia livescore siamini nachokiona leo lacazette hayupo tuone nani atabebeshwa mzigo wa lawama but kwangu mimi naanza kupata waswas na Arteta haiwezekani Arsenal tuwe utopolo namna hii next matches Wolves and Spurs very difficult matches na hii mechi ni suala la Muda tu tushaandaliwa bado kuingiziwa tu labda Sir God atuonee huruma
 
Mpo vizuri kama mnaweza kudroo had na leeds bas hali yenu siyo mbaya sana

Mm najiulizaga sasa mlimfukuza wenger kwa nn?? maana naona kama baada ya yy kusepa mnaporomoka zaid!!sasa si bora mngemwacha mzee likuwa anabalance uchumi na uhakika wa top 4 ulikuwepo......sasa hv nyie ni midtable team yaan ukikutana na everton mkadroo anajilaumu
 
Hii ligi Chini ya Arteta mpaka sasa Top 10 hatutoboi na Top 15 pia itakuwa ngumu mechi Arsenal aliyocheza vizuri ni Dhidi ya Fulham peke yake nyingine zote 8 hamna kitu Top 10 hatutoboi bado kuna Everton Spurs Wolves Chelsea atamfunga nani kwa mpira huu?
 
Kwa hiyo unasema arteta anawapeleka championship kimyakimya???
 
Nicolas Pépé has now received as many red cards in the Premier League this season as he has produced goals and assists combined (1).
 
Shida ya Arsenal siyo kocha,Tatizo kubwa la Arsenal ni huyo Mwendawazimu Kroenke!

Arsenal hata kama watampata kocha mwenye sifa za malaika bila huyo mwendawazimu kuachia timu ni kazi bure!,Huwezi kuwa na kocha mzuri halafu una wachezaji wote wabovu,Huyo kocha utamlaumu tu!

ARTETA ASIBEBESHWE ZIGO LA LAWAMA,AMEIKUTA ARSENAL IMEOZA,NA KIBAYA ZAIDI HATA PESA YA USAJILI HAKUNA
 
Back
Top Bottom