Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,695
- 32,446
Basi hana hiyo profile ya kuharibu bora useme itamharibia future.The guy is building his career
Basi hana hiyo profile ya kuharibu bora useme itamharibia future.The guy is building his career
Naondoka kibanda umiza nkaangalie tamthilia ya kifilipino na demu wangu timu dk 45 zote 0 on target na tumejaribiwa mara 14 napoteza muda wangu tu hapa same story tu everyday Willock ndio creative midfielder anaanguka anguka mamamae
🤣🤣🤣🤣🤣Kipindi cha kama miaka 10 ya mwisho ya Wenger timu ilikuwa na malengo ya kuingia top 4, na kwa kiasi kikubwa ilikuwa inafanikiwa.
Tukamfukuza Wenger, baada ya hapo nadhani malengo yamebadilika, ni kubaki kwenye ligi.
Mabingwa wapya, hamjambo?
Sungusungu wa London chupuchupu aliwe kichwa na Wahuni jana usiku
Mie sijui mtazamo wako tuKipindi cha kama miaka 10 ya mwisho ya Wenger timu ilikuwa na malengo ya kuingia top 4, na kwa kiasi kikubwa ilikuwa inafanikiwa.
Tukamfukuza Wenger, baada ya hapo nadhani malengo yamebadilika, ni kubaki kwenye ligi.
Tuna kuza timu mkuuuSasa kwani anaetakiwa ajue hatuna wachezaji wenye viwango ni nani?? Hivi si ni yeye ndio alitakiwa ajue hilo halafu atafute hao wachezaji??? Kwahiyo Castr Aliweza kujua tatizo letu ambalo yeye alishindwa kulijua??
Hivi kweli tulishindwa Jana kucheza 4-4-2 halafu mbele tumchezesha auba na laca?? Au ilikuwa tu lazima tumchezeshe willock????
Auba tutaanza kumtukana soon ngojeeni tu.
Huuna akili ww unawaza kutumia miguu hkoTumecheza vizuri,Gunners chama kubwa,tena tukiwa pungufu ndio balaa zaidi Chelsea wanatujua,
Kwa kweli aiseeeTuna kuza timu mkuuu
Kwa kweli aiseee
Here we go