isajorsergio
Platinum Member
- Apr 22, 2018
- 4,143
- 6,562
Hehehehe
#ArtetaOut
#ArtetaOut
Hata mimi nilisikia hivyo hivyo.Mkuu si niliskia huu mjadala ushafungwa???
HILI LINAHITAJIKA MAPEMA SANA TENA MAPEMA SANAAA, SAJILINI JANUARI VIUNGO WA MAANA SANA WAZOEFU,WAKONGWE NASEMA SAJILINI MTASHUKA DARAJA.Naondoka kibanda umiza nkaangalie tamthilia ya kifilipino na demu wangu timu dk 45 zote 0 on target na tumejaribiwa mara 14 napoteza muda wangu tu hapa same story tu everyday Willock ndio creative midfielder anaanguka anguka mamamae
Ngoja dakika 90 zimalizikeHata mimi nilisikia hivyo hivyo.
Kiukweli still bado tuna mwitaji Ozil kwani nikitizama hatuna mchezaji anayeweza kucheza no 10 zaidi yake.
Ila sijajua anatatizo gani na uongozi wa Arsenal.
Mkuu si niliskia huu mjadala ushafungwa???
Leeds wanahitaji draw tena hapo,Arsenal ndio tunaitafuta draw.Huo mjadala tulisha ufunga, na leo sisi Leeds tunahitaji draw tu ili tuachane nao kabisa huo mjadala.
TumepigwaaPepe Winga wa dunia paundi milioni 80![]()

Asipokuwa makini hii issue itamletea tabu kama ilivyomletea mwenzie Unai tabu.Huo mjadala tulisha ufunga, na leo sisi Leeds tunahitaji draw tu ili tuachane nao kabisa huo mjadala.
Tuñafungwa.The Gunners wenzangu tusikimbie jukwaa naona wapinzani wamejaa humu ila yote inatokana na mwenendo wa timu yetu mfano leo matokeo hayafahamiki kama tutashinda tutasare au tutafungwa kabisa yaani tupo tupo tu hatusomeki nashindwa kuchambua kabisa game ya leo
Ushindi ni kuanzia 2+ au sio....Kati ya gem ambazo tutacheza vizuri na kupata matokeo ni pamoja na gem ya leo. Watu kupoa ni kwasababu mechi ya mwisho tulipoteza tena tukiwa tumecheza vibaya ila leo ushindi ni kuanzia 2+

