Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ceballos na David Luiz wamepigana kwenye training ground leo naanza kupata shaka na behaviour ya ceballos mara ya pili anapigana

Willian kaenda Dubai bila ya permission ya Arteta let's wait for disciplinary issue
 
nimeiona, halafu Partey, Kolasinac na Elneny will all be out on sunday against Leeds. Big blow
 
NEW: Mirror Football understands the #AFC hierarchy hopes to prise Szoboszlai from Red Bull Arena by meeting his release clause in three yearly instalments, though they will face stiff competition from other European giants.
 
I wish ningekua nipo humu na ndugu zangu ila simu imekua majanga. Nitajitahidi kuja kuhudhuria vipindi hivyo hivyo.
 
Willian kaenda Dubai bila ya permission ya Arteta let's wait for disciplinary issue
[/QUOTE]

kwani DullyJr anasemaje kuhusu hili
 
Arsenal boss Mikel Arteta says there will be "consequences" for the source who leaked a story about an incident between Dani Ceballos and David Luiz.
 
Back
Top Bottom