Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,211
Great game so far, thx 2 BAK n AW 4 updates, nyways any1 knows which streaming 's workin? Kila ninapopita naambiwa homeland security wameteka nyara
Atdhe, justin, ilemi kote wamebana mkuu, anyway nakula live commentary toka BBC nitaiangalia tena baadaejaribu atdhe.net mkuu hawa jamaa huwa wananitoa sana kama game haipo kwenye tv.
Goaaaaaaaaaaaaaaaallllllll Michelle kafunga kwa cross nzuri kutoka kwa AW iliyotoka kwa Questt.....l.o.l......mambo ni mazuri......I salute you my people AW,BAK,Quest,Kweli and many others......VIVA ARSENAL:clap2::clap2:
Mkuu ilikuwaje hii kadi? Naona straight red? Anyway spuds wamerudishiwa 1 - 1. Bolton wajikaze dakika zilizobaki w/end naona inaenda vemadiaby noma sana.
kamminya Barton nyuma ya shingo na kumsukuma.Dogo si unajua anajifanyaga mtemi lol.Mkuu ilikuwaje hii kadi? Naona straight red? Anyway spuds wamerudishiwa 1 - 1. Bolton wajikaze dakika zilizobaki w/end naona inaenda vema
Vassiriki anatutibua sana! Anajua umuhimu wa nidhamu wakati tayari tumem_miss Nasri na Song yeye ndio kwanza anabeba kadi za kizembe?kamminya Barton nyuma ya shingo na kumsukuma.Dogo si unajua anajifanyaga mtemi lol.
Vassiriki anatutibua sana! Anajua umuhimu wa nidhamu wakati tayari tumem_miss Nasri na Song yeye ndio kwanza anabeba kadi za kizembe?