Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,585
So ghafla unaona watu wanafurika na kila mmoja anakuja kutoa stori yake. Wote hao wana stress na timu zao wanataka kuja kupunguzia hasira zao kwenye huu uzi.
Kufuli linahitajika tena. Kisha utawaona waleeeee kwa mbaaaali wanaelea elea tu hawawezi kucomment chochote.
Kufuli.
DullyJr Willian analipwa paund laki 2Willian
Genuinely: giving him a three year deal is like committing to pay £100,000 a week for a 28 inch genuine Sorny television for the same period. Abysmal. Missed a great chance in the first half, and slashed one wide in the second half too. He needed a big performance tonight, and this was his worst game so far
Juzi nilisema huu uzi hauna wachangiaji wa timu zingine kwakua, nanukuu, "We are not fvcking up our opportunities" nikasema tumedeal vizuri na hizi ishu tumewapiga kufuli ila game na villa inakuja kichezesha kufuli, and it did.
So ghafla unaona watu wanafurika na kila mmoja anakuja kutoa stori yake. Wote hao wana stress na timu zao wanataka kuja kupunguzia hasira zao kwenye huu uzi.
Mimi roho itaniuma tukitolewa Europa. Hili battle la ligi ni refu bado muda unatosha kwa waliofungwa saba na sita kurudiwa na huo mzimu at the mean time tujaribu tu kurekebisha tulipomess up.
Kufuli linahitajika tena. Kisha utawaona waleeeee kwa mbaaaali wanaelea elea tu hawawezi kucomment chochote.
Kufuli.
Leo huwezi sikiliza michezo singeli mwanzo mwisho mwanasport hakuna mwendo wa Amani au ijumaaaBernd Leno
Beaten three times. None of which were his fault, but shaky punching and handling late on demonstrated how it affected him.
Bahati nzuri sinaga kawaida ya kusikiliza michezo ktk redio za bongo,Leo huwezi sikiliza michezo singeli mwanzo mwisho mwanasport hakuna mwendo wa Amani au ijumaaa
Utasema yoote mwisho wa siku ukweli tunaujuaBahati nzuri sinaga kawaida ya kusikiliza michezo ktk redio za bongo,
Kwani game ilichezwa pluto?Utasema yoote mwisho wa siku ukweli tunaujua
Vip kuhusu Willian? Mzee baba tuliwaambia kuhusu Willian na Chelsea walikuwa si wajinga kumuacha huyo mchezaji
Hahahahahaa mamamamaehh
Arsenal kumfunga Napoli ligi gani?
SafiArsenal 6-2 Blackburn
Walitaka sisi tuwafutie aibu yao, wapambane wenyeweeeeeeee.Lakini liverpool ulipigwa saba mkuu ..Arse8 kachezea kipigo cha kawaida sana