Mbona nafasi tumetengeneza za kutosha, tatizo hatumalizi nafasi tulizotengeneza.Pamoja na kucheza vizuri lkn bado hatutengenezi nafasi za kufunga nadhani ni muda muafaka wa kutumia plan nyingine means kupiga mashuti tukikaribia langoni kwao
Arteta na
safu ya ulinzi iliyostaharabiki ikiongozwa na Gabriel
Nimeikubali sana combo yao..Happy happy happy day
Xhaka na Ceballos naona kuna mtu atakosa number kombi ya Thomas and Elneny si ya kitoto Big up Guys
Sikutegemea kabisa ila Xhaka na Ceballos wajiandae na rasmi tumemaliza mechi ngumu za mfululizoNimeikubali sana combo yao..
Wachezaji leo wamejitambuaKaka hii game ya leo bado sijipi matumaini kabisa ya kushinda ila tutashinda kama wachezaji watajitambua na kujua fans wanataka nini ila kwa clear picture ukifocus napata kigugumizi
Wakati Partey akijishughulisha na uangalizi wa ngome na eneo la kati, Elneny alikuwa busy kumshughulikia na kumvunja kabisa Lindelof na beki wao Luke Shaw kimyakimya bila kelele wasilete madhara.Happy happy happy day
Xhaka na Ceballos naona kuna mtu atakosa number kombi ya Thomas and Elneny si ya kitoto Big up Guys
Wachezaji leo wamejitambua