Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

At this moment mambo ya formation yananichosha tu wachezaji wajitambue wajue fans tunataka nini that's it

Formation zimepangwa mara kwa mara ila matokeo mabovu sababu ya wachezaji wenyewe kutojua wanataka nini
Exactly,wamerelax sana wanasubiri end of the season ndio waanze kupambana,game ya Leicester wote walitakiwa walaumiwe ulikuwa ni utoto ule
 
At this moment mambo ya formation yananichosha tu wachezaji wajitambue wajue fans tunataka nini that's it

Formation zimepangwa mara kwa mara ila matokeo mabovu sababu ya wachezaji wenyewe kutojua wanataka nini
Tatizo wachezaji wetu hawawi katika nafasi ambazo mmoja akiwa na mpira ataweza kumpa mwenzake.
 
Lini wewe ulimfunga Man utd away? Lini? Haya ebu danganya tuone.... 2015 au?View attachment 1617008
Tumeifunga man goli mbili kwa bila mwaka 2019.

Xhaka akipiga shuti ambalo lilikata kona likiwa linamfuata david.

Kumbukumbu zinaniambia Ile siku tulivaa jezi za ugenini. Nimecheki online nimekuta kwamba tulishinda mbili bila ndiyo ila ilikua emirates. Hii screenshot yako ina uongo mwingi hapo.
 
Kwani tulipo wapigeni 8 Mustafi alikuwepo?
Acha kumuangushia jumba bovu mwana (mustafi)
Nyinyi ni tawi letu, nijambo la kukubali tu.
Unaongelea kastori ka karne ya ngapi?

Maana mpya ni 13 za Ajax, 7 alizopigwa liva, 6 alizopigwa man na 5 alizopigwa baharia wa mjini.
 
Tatizo wachezaji wetu hawawi katika nafasi ambazo mmoja akiwa na mpira ataweza kumpa mwenzake.
Striking force imenishangaza sana msimu huu, hata shot on goal imekuwa kizaazaa,game ya leo nataka nione km mwalim analiona hilo tatizo😁😁
 
Tumeifunga man goli mbili kwa bila mwaka 2019.

Xhaka akipiga shuti ambalo lilikata kona likiwa linamfuata david.

Kumbukumbu zinaniambia Ile siku tulivaa jezi za ugenini. Nimecheki online nimekuta kwamba tulishinda mbili bila ndiyo ila ilikua emirates. Hii screenshot yako ina uongo mwingi hapo.
Mkuu jamaa anaongelea kumfunga OT

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Striking force imenishangaza sana msimu huu, hata shot on goal imekuwa kizaazaa,game ya leo nataka nione km mwalim analiona hilo tatizo😁😁
Ni shida. Mi ningekua kocha ningewapa majukumu Partey na Xhaka kupiga mashuti wakiwa nje ya 18
 
Kwa mpira tunaocheza sitashangaa tukiwa na 0 on target hadi half Time may be wachezaji wajitambue,mpira tunacheza vizuri sana (Excellent)tatizo ni creativity kwenda third half kwa mpinzani (hili ndio tatizo kubwa kubwa)
 
Tumeifunga man goli mbili kwa bila mwaka 2019.

Xhaka akipiga shuti ambalo lilikata kona likiwa linamfuata david.

Kumbukumbu zinaniambia Ile siku tulivaa jezi za ugenini. Nimecheki online nimekuta kwamba tulishinda mbili bila ndiyo ila ilikua emirates. Hii screenshot yako ina uongo mwingi hapo.
Screenshot hiyo ni wewe ukiwa away. Sijachukua kwa ujumla coz mimi nilileta mada kwamba nyie mkiwa away against big teams mnakuwa utopolo.
 
Man utd hajawahi tawala game yoyote vs arsenal hivi karibuni,miaka ya nyuma kidogo Kama 3yrs ago tulikua na beki mbovu ambayo ilikua inafanya makosa ambayo yalikua yanajirudia rudia,hivo walikua wanatumia opportunity hiyo kutuadhibu,

Kama strikers watakua 'awake' ni matarajio yangu makubwa kua point 3 zitakua nasi,

Sina pressure kabisa na hawa manyumbu,

Let's go gunners
 
Back
Top Bottom