Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Game ya leo ni 50 kwa 50 sio ngumu na pia sio nyepesi anything can happen sina taarifa za vardy ila kama atakuwepo atakuwa ni threat kubwa sana kwetu mpira wa leo mistake ndogo ndogo hazihitajiki kuwepo na pia Leicester ni wazuri sana kwa kupiga mashuti nje ya 18 hilo liangaliwe na beki 3 itakuwa ndo formation sahihi kwetu na kati akicheza Ceballos and partey patakuwa imara zaidi na katika mchezaji wa leo ambaye hatakiwi kukosa ni Saka

Mechi ya leo itatuonyesha ni wapi serious ambao tunao mpaka sasa ligi ni Ngumu sana sana na atakayeweza kumaintain kwa kushinda mfululizo huyo ataibuka bingwa wa EPL maana timu zote kwa sasa mechi 6 zote zimeshafungwa kitu ambacho sio cha kawaida Arteta atumie udhaifu huu angalau top 3 tusikose ikiwezekana ubingwa kabisa na mechi ya leo ikiwa tofauti next week ni dhidi ya Manchester United nayo haitabiriki let's wait and see and hope point 3 tunapata
Haahaaa Mkuu unawaza ubingwa hapo wkt ushafungwa game 3 n bado hujacheza na Leeds united ...!
 
#ArtetaOut
Bro,

Ungejua we acha tu. Nipo Antalya, huo mpira wenyewe tu kupata kwenda kuangalia ni shughuli. Nimetumia karibu $20 for this game na hapa nipo narudi hotel kinyooooonge. Hahahahaahahahah

20201026_001311.jpg
 
Leicester wamestahili kushinda kwa sababu ya ubora walioutumia.


Hata roma haikujengwa kwa siku moja.

Arteta naweza sema bado sanaa kwenye tasnia ya ukocha ila muda utaamua.
Kukosekana kiungo mshambuliaji asili ndio kuna igharimu timu.

Roma haikujengwa kwa siku moja
 
Mashabiki wa arsenal n wasahaulifu sana Leo mmepigwa mtalaumu laumu lakn mkishnda mech tatu mfululizo na midtable team mnasahau mnajiona mko level moja na barca buyern and the like ila mnasahau ili uwe bingwa n lazma umfunge bingwa pia na hapo ndio huwa n kaz ngumu kwa arsernal

Mnamuacha creative midfielder kama ozil ambaye historia yake na uwezo wake uwanjan unajulikana unamleta partey ambaye sidhan kama anajua nn maana ya ubingwa huko alikotoka BADO MNA KAZI WAKUU

Sitashangaa kusikia mtu akija na analysis isemayo TIMU INAIMPROVE improvement iendane na matokeo

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
Huyo kocha wenu Arteta amewaaminisha Ceballos is far better than Ozil sasa mtaipata freshi.
 
Back
Top Bottom