Gpili
JF-Expert Member
- May 18, 2020
- 2,179
- 2,084
Wacha weeLeicester kashalia kabla ya game
Najiandaa kusoma comments tu hapaNaanza kukosa amani na hii game naanza kuogopa
Sioni mipango ya kutafuta magoli sioni may be yatokee kama yanavyotokeaga but hamna mipango kabisa
Bora wewe umeongea kweli Mkuu.Tusiwe tunajishauwa, bado hatuna timu ya ushindani, we have lost to Liverpool, Manchester city and now leceister, bado watu waje kujidanganya kwamba msimu huu tuna tuna timu! Rubbish