Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wachambuzi mje mtoe uchambuzi wa game ARS Vs LEI.
Game ya leo ni 50 kwa 50 sio ngumu na pia sio nyepesi anything can happen sina taarifa za vardy ila kama atakuwepo atakuwa ni threat kubwa sana kwetu mpira wa leo mistake ndogo ndogo hazihitajiki kuwepo na pia Leicester ni wazuri sana kwa kupiga mashuti nje ya 18 hilo liangaliwe na beki 3 itakuwa ndo formation sahihi kwetu na kati akicheza Ceballos and partey patakuwa imara zaidi na katika mchezaji wa leo ambaye hatakiwi kukosa ni Saka

Mechi ya leo itatuonyesha ni wapi serious ambao tunao mpaka sasa ligi ni Ngumu sana sana na atakayeweza kumaintain kwa kushinda mfululizo huyo ataibuka bingwa wa EPL maana timu zote kwa sasa mechi 6 zote zimeshafungwa kitu ambacho sio cha kawaida Arteta atumie udhaifu huu angalau top 3 tusikose ikiwezekana ubingwa kabisa na mechi ya leo ikiwa tofauti next week ni dhidi ya Manchester United nayo haitabiriki let's wait and see and hope point 3 tunapata
 
Upo sahihi, ligi mwaka huu ni ngumu, mechi sita hakuna ambaye hajapoteza. Hivi liver last season alienda unbeaten hadi mechi ya ngapi?
 
Itakuwa game ngumu ila natumaini tutakuwa tumechangamka kuliko game ya City na tutatengeneza nafasi za magoli zaidi. Kwa stats zetu, napata mashaka kuwa Arteta anafocus sana kwenye defense na kiungo na kumiliki mpira lakini siyo kwenye kushambulia na kupata magoli haswa kwa timu kubwa. Huenda ana ile hofu kama ya Emery ila bado tu hatujamshtukia.
 
Wakuu kiaje?

Team News

Arsenal wamefanya mabadiliko na wachezaji watano wamebadilishwa kutoka kikosi kilichocheza Alhamisi kwenye Europa.

Thomas Partey anaanza pamoja na Aubameyang.

Leicester Vardy anaazia bench.
 
Arsenal XI: Leno, Bellerin, Luiz, Gabriel, Tierney, Ceballos, Xhaka, Partey, Saka, Lacazette, Aubameyang

Leicester XI: Schmeichel, Fofana, Evans, Fuchs, Castagne, Tielemans, Mendy, Justin, Praet, Maddison, Barnes

Mwamuzi aitwa Craig Pawson

Hivyo Xhaka anaenda kucheza nafasi yake ya asili yaani namba 8 au CM na Ceballos akiwa AM huku nyuma yao yupo Thomas Partey ambae pia atalinda back four.

This is the way Arsenal will play going forward.
 
4-3-3 Leo. Leicester akazane ,Leo tunamnyoa
IMG_20201025_212726_125.JPG
 
Back
Top Bottom