Imefika point wale wapumbavu wa kichina wana-dictitate nani apangwe kucheza katika EPL na nani awe dropped. MADNESSNilishangaa sana.......Ozil is not good enough to be included in this useless team???????
Issue ya ozil mkuu si tactical zaidi. Ozil hakabi halafu ni mvivu. Haisaidii timu ikizidiwa ujueNilishangaa sana.......Ozil is not good enough to be included in this useless team???????
Issue ya ozil mkuu si tactical zaidi. Ozil hakabi halafu ni mvivu. Haisaidii timu ikizidiwa ujue
Kama tulimfukuza Ozil sababu ya dini kama wengine (wanavyodai ila wengine wanasema hakabi )tujiandae kwa msiba haiwezekani mechi 4 tumefungwa 3 ni laana zinaanza kutuandama kama Ozil huko kwake anasoma dua na Mungu akapokea that's why mechi 4 tumecheza 3 tumepotezaIssue ya ozil mkuu si tactical zaidi. Ozil hakabi halafu ni mvivu. Haisaidii timu ikizidiwa ujue




Pole mkuu, kheri kwako umerudi kinyonge. Mimi nimevunja screen hapa.Bro,
Ungejua we acha tu. Nipo Antalya, huo mpira wenyewe tu kupata kwenda kuangalia ni shughuli. Nimetumia karibu $20 for this game na hapa nipo narudi hotel kinyooooonge. Hahahahaahahahah
View attachment 1612169
Kumbeee????Nope, the truth remains untold
Hapana mkuu.Kama tulimfukuza Ozil sababu ya dini kama wengine (wanavyodai ila wengine wanasema hakabi )tujiandae kwa msiba haiwezekani mechi 4 tumefungwa 3 ni laana zinaanza kutuandama kama Ozil huko kwake anasoma dua na Mungu akapokea that's why mechi 4 tumecheza 3 tumepoteza
Kati ya Ozil na Willock nani anatakiwa aachwe kabisa?mhhh(fact iwepo)
Nikimuwaza Rashford na Cavani Mamamae labda twende Sumbawanga tukasaidie kutafuta mababu wabobezi![]()
Niuzie screen niongeze kwenye biashara yanguPole mkuu, kheri kwako umerudi kinyonge. Mimi nimevunja screen hapa.
Usisahau kunibebea Ülker
😄😄😄😄😄😄😄Pole mkuu, kheri kwako umerudi kinyonge. Mimi nimevunja screen hapa.
Usisahau kunibebea Ülker
Kama tulimfukuza Ozil sababu ya dini kama wengine (wanavyodai ila wengine wanasema hakabi )tujiandae kwa msiba haiwezekani mechi 4 tumefungwa 3 ni laana zinaanza kutuandama
Kati ya Ozil na Willock nani anatakiwa aachwe kabisa?mhhh
Yaani imetumia $20 kumcheki Pepe na wale watoto wanaitwa sijui Bukayo??? Kuna watu wanastahili kupimwa akili sio bure.Bro,
Ungejua we acha tu. Nipo Antalya, huo mpira wenyewe tu kupata kwenda kuangalia ni shughuli. Nimetumia karibu $20 for this game na hapa nipo narudi hotel kinyooooonge. Hahahahaahahahah
View attachment 1612169
Kwa kuachwa Ozil na kikosi hichi ambacho kucreate chance ni tatizo kubwa huku benchi yupo Willock nimeamini Ozil ameachwa sababu ya mambo ya Dini that's is naked truth bila kupepesa macho na tutalijutiaWakati mwingine tunajitoa ufahamu, tunaukataa ukweli, unamlipa mtu £350000, you rest him just to field nonentities ambao dakika zote za mchezo ulimI upo nje utafikiri ni mbwa anayekaribia kumaliza game
Wacha tu ndugu yanguYaani imetumia $20 kumcheki Pepe na wale watoto wanaitwa sijui Bukayo??? Kuna watu wanastahili kupimwa akili sio bure.
Hakuna kupewa muda hapa, ni mpumbavu mmoja hivi na mnafiki analeta siasa za Catalonia kwenye Fútbol!It's too early mkuu.
Kocha apewe muda
Mkuu watu na tulale maana naona computerarsenal anatema nyongo chafu balaa hapa.Hakuna kupewa muda hapa, ni mpumbavu mmoja hivi na mnafiki analeta siasa za Catalonia kwenye Fútbol!
Ndani ya miezi 6 ya mpira katupa vikombe 2Mkuu kwa nini unamuita "maestro"? unajua heshima ya hilo neno?. Nilikuwa naangalia makocha wa timu kubwa ulaya wameshachukua UCL & UEFA cup na makombe ya ligi mengi tu wakiwa wachezaji na baadae wakiwa makocha. Huyo Atreta wako hajafanya lolote kati ya hayo. Kuanzia leo acha kuchafua neno "maestro"