Kwa taasisi ya FA/ Premier League, MAN UTD ni kipenzi chao na hawapendi kuiona ikiporomoka so wataipa kila sababu, zikiwemo kuwapa penalties nyingi na kuwanyima penalties wapinzani, ili washinde. 😀😀Huyu Maguire ina maana VAR haimuhusu?!!View attachment 1611051
Usijipe ban tu mkuu.Lecester leo namfanya ki2 hamna
Umemsahau LEEDSNilikomenti humu siku ile kuwa kuna hizi mid-table team kama Westham, Everton, Wolves, Palace na Leicester ukikutana nao performance sio muhimu sana kwa kuwa ni team stubborn sana. Chukua matokeo nenda zako.
Sawa bhana,Acha wakati uamue sheikh wangu,Maana marehemu 'akikaribiaga' kufa anakuaga 'mbishi' kinoma.Hasira za kumkosa chelshet nitaimalizia kwako.
Xhaka is another floppy in ArsenalThomas Partey (6) has made more tackles already this season for Arsenal than Granit Xhaka (4) or Mohamed Elneny (5).
Tusubirie mtanange tu timu yetu haichezi vizuri huo ndo ukweli na game ikianza tutaanza kulaumu hapa... Tusubiri gameLeicester kashalia kabla ya game
Leicester kashalia kabla ya game
Acha kum "underrate" xhaka boss,Ni vile tu hujui,How important he is katika game ambazo hazina presha.Xhaka is another floppy in Arsenal
Emirates sio uwanja mzuri kwa Leicester,Sio watu wazuri wale, jiandae kiseikojia.
Emirates sio uwanja mzuri kwa Leicester,
Tegemea maumivu boss.
Xhaka angekuwa Black angekuwa ashapelekwa dochi huko kwa mkopoAcha kum "underrate" xhaka boss,Ni vile tu hujui,How important he is katika game ambazo hazina presha.
Kikosi huwaga kinatokaga lisaa kabla ya game kuanza.Tupieni kikosi chenu basi, mbona kama hamjiamini?
Alafu anae ongoza ligi kesha fanywa kitu mbaya huko.
Sio kweli bhana,Mbona pepe bado tunae.Xhaka angekuwa Black angekuwa ashapelekwa dochi huko kwa mkopo
Mzeiya ni mapema mno kulisemea hili, EPL ina ushindani ambao lolote linaweza kutokea.Leicester kashalia kabla ya game