Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kona ya tatu sasa Arsenal wanapata ina bidi wazitumie uzuri hizi kona.
 
Naona Brendan Rodgers anataka tujichanganye afu atupige goli la counter,

Saka is unlucky today,

Bellerin angetulia,ile nafasi angeweza kuscore,

BTW,Game is ours.
 
Naona Arteta toka game ya Europa ,naona tunacheza highline

Saka unlucky. ,kiungo kimetulia ,

Partey ,Gab hupiti
 
Naanza kukosa amani na hii game naanza kuogopa
Sioni mipango ya kutafuta magoli sioni may be yatokee kama yanavyotokeaga but hamna mipango kabisa
 
Back
Top Bottom