Ukiwakuta wanakuchambulia hiyo kiungo yao yaan huyo ceballos unaweza sema labda ni boonge la mchezaj kumbe waongowaongo tu mara hapa akae xhaka pale muweke El neny yaan full vurugu tu
Nataka na huyo patei sijui part aanze kucheza tujue kama wamepigwa kama walivyopigwa kwa komred kipepe



Timu yenyewe tia maji tia maji tu.......hv unataka luiz na kikund chake cha wahun wawape ubingwa pale EnglandLeo mbona zile chambuzi zao hazipo tena![]()
Mlishinda ngapi kwa city?Mkuu kwanini unapenda sana kuwa negatives? Hivi unajua maana ya ushabiki?
Mkuu, mimi mwenyewe nina imani na timu tena sana tu.
Team ime-improve pakubwa mno na usajili umefanyika vizuri tu. Ila sina imani hata chembe kwamba eti tutachkua ubingwa. Mnaweza kusema tutachkuwa ubingwa na tukichkua ntafurahi sana.
Ila realistically hatuna timu ya kuchkua ubingwa.
Hivi Leicester walivyobeba ubingwa walikuwa na false hope? Kama unajua maana halisi ya mashindano, huna sababu ya kutetea hilo mkuu, haya ni mashindano ni marathon hata ukimuuliza Arteta muda huu atakwambia anautaka ubingwa, kwanini sisi mashabiki tuwe na matumaini mengine ya kushindwa!Dully, sio negative ni realistic!
Kuna utofauti mkubwa sana hapo. Kama kuwa positive kwako ni kujipa false hope basi hapo sina la kufanya mzee.
Na ndio maana halisi ya ushabiki,Mimi hivyo ndo napenda. Ushabiki wa kinyonge mimi siupendi kabisa.![]()
![]()
Weka na msimamo kabisa tumalize
Amka uone madiniLeo mbona zile chambuzi zao hazipo tena![]()
Tumefungwa 1 mkuu, msimamo wa ligi unasemaje?
Weka na msimamoNitakua sina ubinaadam nisipo pita nyumba hii na kutoa pole.
Naona jana umeshinda Stamford bride basi una keleleeeeeeeeeeee, ahsante Theo WalcottMsiba wa huku umepoa sana sijui kwa sababu ni kawaida yenu kupigwa pigwa.

