computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,479
- 6,033
Hakuna anayebeza kwa sisi kucheza vizuri au whatever vile ,tatizo kwa nini mwaka wa 5 mfululizo hatushindi dhidi ya big 6 away?hili ndio tatizo kubwa na pia ndio linagharimu nafasi ya Arsenal kupata nafasi ya kucheza Champions leagueKwa anayejua Arsenal ilipotoka na ilipo sasa Hawez kubeza tulivyocheza Leo
Haya ni maneno ya Arteta
Arteta anajivunia kile Arsenal imefanikiwa.
"Lazima niseme na ninafurahi sana nimekuwa kwenye chumba cha kubadilishia nguo hapa kwa miaka 4 na najua ni kiasi gani inachukua timu kufanya kile tulichofanya usiku wa leo."
Bila kupata points away dhidi ya Big 6 unafikiri nafasi ya champions league inapatikana kirahisi?




