isajorsergio
Platinum Member
- Apr 22, 2018
- 4,143
- 6,562
Safi naona Willock hatakuwepo maana kacheza U23 pamoja na Nelson, Smith-Rowe na Cedrick. Japo naona Cedrick alihitajika. Tutashinda Willcok hayupo.
Everton kanichanisha mkeka sijui nitakula nini leoLiverpool na Everton wameniletea matokeo niliyoyataka. Yaani sare ya kufungana zaidi ya goli moja. Hii inaweka GD ibaki 0 lakini wote wanajiona kuwa wanafungika zaidi ya goli moja kwa hiyo wasijiamini sana. Wakikutana na timu zinazojua kushambulia watakuwa waoga.
Si ulisema zaidi ya goli 2?Everton kanichanisha mkeka sijui nitakula nini leo
Yule ni jamaa wa Chelsea mi nilibet Everton anashindaSi ulisema zaidi ya goli 2?
Pia Livarpool hana ujanja kivile zaidi ya VAR.Bado naendelea na msimamo wangu kwamba Liva ukimshambulia anakuogopa.
I hope Arteta anachukua notisi.
https://t.co/KxkzRnTBn3Pia Livarpool hana ujanja kivile zaidi ya VAR.



aisee kweli mahaba mabayaMwana computerarsenal waga unanikosha kufatilia madhaifu ya timuMechi ya leo ipo 50 kwa 50 sio ngumu pia sio rahisi!anything can happen!
Problem tuliyonayo ni kushindwa kupata point 3 kwenye away games against big 6,ni kama Pepo lilmetukumba hivi na ndio waswas wangu wa leo but let's wait and see



Willock ndio mahala pake ukoSafi naona Willock hatakuwepo maana kacheza U23 pamoja na Nelson, Smith-Rowe na Cedrick. Japo naona Cedrick alihitajika. Tutashinda Willcok hayupo.



timu yetu udhaifu wake mkubwa ni kushindwa kupata point 3 away kwenye big 6 games ,imagine last season against Tottenham Hotspur tulikuwa na ball possession almost 80 % then matokeo yakawa Tottenham 2 -1 Arsenal Full Time sijui nani katuloga tukiwa away vs big 6 ,kama mechi ya leo ni 50 kwa 50 ila usije kushangaa mwishoni mechi ikaisha vibaya Mfano ndio huu ndio maana napata shaka na leo ila kama tutashinda leo hata sare nitaamini msimu huu tumekuwa serious na kuwa serious ni kupambana na magiant first match vs Liverpool tukapoteza tukasema it's ok ila na ya leo matokeo yakiwa mabaya kisingizio kitakuwa nini?timu yetu udhaifu wake mkubwa ni kushindwa kupata point 3 away kwenye big 6 games ,imagine last season against Tottenham Hotspur tulikuwa na ball possession almost 80 % then matokeo yakawa Tottenham 2 -1 Arsenal Full Time sijui nani katuloga tukiwa away vs big 6 ,kama mechi ya leo ni 50 kwa 50 ila usije kushangaa mwishoni mechi ikaisha vibaya
De bryune ni roho ya Manchester City kutokuwepo kwake ni bonge la advantage
Auba naye akaze matako sasa aanze kufunga magoli wenzake wanakimbizana kwa Magoli huko