Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,396
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hatari sana. Majaribio ya forward Pepe
Watakuwa wana interchange
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hatari sana. Majaribio ya forward Pepe
Yani kiungo cha Bukayo na Xhaka...
Hapo nimemuelewa arteta hapo kawapa kazi beki na kiungo mkabaji wa man city kubaki chini sana ili wasilete mazala golini kwetu leo ni mwendo wa pasi ndefu tu auba lazima atatupia.😀😀😀😀😀😀😀😀
Hatari sana. Majaribio ya forward Pepe
Ohhh okey!Watakuwa wana interchange
Wote wapo njema hao.Yani kiungo cha Bukayo na Xhaka...
Na forward ya Pepe...
Alafu mnataka points ...
GoodHapo nimemuelewa arteta hapo kawapa kazi beki na kiungo mkabaji wa man city kubaki chini sana ili wasilete mazala golini kwetu leo ni mwendo wa pasi ndefu tu auba lazima atatupia.
Maana watakuwa wanazubaishwa na pepe ikipelekwa kwa auba anatia nyavu.
Nicolas anacheza wing na Aubameyang ndio anacheza kati cf[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hatari sana. Majaribio ya forward Pepe
Hapo kuna wakupiga buti...Mesut Ozil (annual salary: £18.2m/weekly salary: £350,000)
Pierre-Emerick Aubameyang, Thomas Partey (£13m/£250,000)
Willian (£10m/£192,000)
Alexandre Lacazette (£9.4m/£182,000)
Hector Bellerin (£5.7m/£110,000)
David Luiz, Bernd Leno, Saed Kolasinac, Nicolas Pepe, Granit Xhaka (£5.2m/ £100,000)
Sokratis (£4.7m/£92,000)
Gabriel Martinelli, Shkodran Mustafi (£4.6m/£90,000)
8
That's good aiseeeNicolas anacheza wing na Aubameyang ndio anacheza kati cf
Mmekwisha nyinyi. VVD 3 monthsNgoja tuandae taratibu za mazishi kabisaaaaaa huu msiba ni mkubwa.