Haha we jamaaa umenikamilishi sikuAlisikika mlevi mmoja nje ya bar.

Download application | J FOOTBALL & MOVIE TVSWe unamuona anazo?Kwahiyo Ole unamuona hana akili?
Duh, huu mwaka Mashabiki wa Arsenal munatamba.
Tumekuwa kama Ajax, full music video kusindikiza usajili 😀 😀
Sijui sheria za lockdown zimelegezwa sana 😀 😀Hawa vijana wa London hatari sana.
Tumekuwa kama Ajax, full music video kusindikiza usajili 😀 😀
Ndo nani huyo?Nimuona huyo Co-Founder wa Ball!
Jeremy Lynch. Aliwahi kua academy ya Arsenal Wenger akasema kwa Arsenal nzima jamaa ndiye ana control kubwa ya mpira.Ndo nani huyo?
Kumbe we man city mzee wa lupatu.Alisikika mlevi mmoja nje ya bar.
Hapana me Manchester United.Kumbe we man city mzee wa lupatu.
Ah aya bhana naona mnajenga timuHapana me Manchester United.
Asante sanaJeremy Lynch. Aliwahi kua academy ya Arsenal Wenger akasema kwa Arsenal nzima jamaa ndiye ana control kubwa ya mpira.
Ni huyo brazamen maji ya kunde ana jezi ya Arsenal
Naona tumekuwa 'favourites' na siyo 'underdogs' kwenye hii fixture kwa mara ya kwanza kwa kiipindi kirefu tu. Nishishazoea kua underdog sasa leo inatulazimu kushinda tu, hakuna namna.
Arsenal yetu tunaijua kwenye mechi za away against big 6 sisi bado ni underdog kwa Pep (kipara)Naona tumekuwa 'favourites' na siyo 'underdogs' kwenye hii fixture kwa mara ya kwanza kwa kiipindi kirefu tu. Nishishazoea kua underdog sasa leo inatulazimu kushinda tu, hakuna namna.