Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mustafi na Chambers wamerudi rasmi kutoka kwenye majeraha na wameshiriki mazoezi kamili leo .

. William Saliba pia alikuwepo kwenye mazoezi ya timu
IMG_20201016_212805.jpg
IMG_20201016_212801.jpg
IMG_20201016_212758.jpg
 
West Ham wamemsajili Benrahma kwa mkopo. Player ambaye kuna unreliable source ilituhusisha naye
 
Mechi ya leo ni muhimu sana kwa arsenal kwa sababu ni mchezo ambao utatoa mwelekeo wa timu katika kupambania ubingwa au nafasi za kushiriki michuano ya Uefa.

Hii mechi itaonyesha ni eneo lipi arsenal itahitaji kulifanyia maboresho, tena kwa kuwa timu anayokutana nayo ni bora zaidi yao na ukizingatia ipo uwanja wa nyumbani.

Kwahiyo kwa maoni yangu letu tusitarajie tu ushindi kwa arsenal ila tuangalie improvement ya timu kwa ujumla
 
Mukijitahidi kushinda leo, sana sana mutashinda na njaa.
GGMU
 
Mechi ya leo ni muhimu sana kwa arsenal kwa sababu ni mchezo ambao utatoa mwelekeo wa timu katika kupambania ubingwa au nafasi za kushiriki michuano ya Uefa.

Hii mechi itaonyesha ni eneo lipi arsenal itahitaji kulifanyia maboresho, tena kwa kuwa timu anayokutana nayo ni bora zaidi yao na ukizingatia ipo uwanja wa nyumbani.

Kwahiyo kwa maoni yangu letu tusitarajie tu ushindi kwa arsenal ila tuangalie improvement ya timu kwa ujumla
Timu kupambania ubingwa? Mbona Arsenal tupo kwenye transition na ubingwa ni misimu 3 mbele? Mi nilisema trophies za kuzitarajia ni zile za tournament siyo za ligi
 
Siwezi sema tuko kwenye kipindi cha mpito wakati kulingana na soko la soka kwa tunao classic players kwahiyo ni suala la ku-cop tu kisha wanafanya vizuri
 
Wachezaji tulionao siyo wabaya ila hawaturuhusu kufight kwa ajili ya ligi na mashindano mengine.

Ndiyo maana niliwahi kusema humu kwamba tuna chance nzuri ya kuchukua Europa, FA au Carabao kuliko hata Ligi.

Nikasema pia. Tutajiweka kwenye nafasi nzuri katika ligi kama tutakua tunapiga timu ndogo na hizi kubwa tunapaki basi. Lakini uliona ushindi wetu ulivyokua mgumu kwa Sheffield? Na goli lao moja lilivyopatikana? Clearly squad yetu bado inahitaji muda.
 
Mkuu timu yetu ipo vizuri tena sana na ninaamini tunachua point 3.

Ukiangalia kila timu kubwa ina mapungufu yake...sijui man city, man utd, chelsea na liver aliyechezea 7.

Hivi ushawahi kujiuliza kwanini wenger na wachezaji wake wadogo wadogo lakin alikua moto wa kuotea mbali. Kuna ile hali ya kujiamini kocha anakupa hata aje nani wewe ni kupiga tu.

Ndo hio hali Arteta anawajengea wachezaji wetu. Leo mhindi katudharahu katupa point 6 kushinda mechi ya leo.
 
Back
Top Bottom