Boss sijasema hatushindi au tunashinda ila nasema kuchukua ligi ni long shot but if we are gonna do it itakua poaMkuu timu yetu ipo vizuri tena sana na ninaamini tunachua point 3.
Ukiangalia kila timu kubwa ina mapungufu yake...sijui man city, man utd, chelsea na liver aliyechezea 7.
Hivi ushawahi kujiuliza kwanini wenger na wachezaji wake wadogo wadogo lakin alikua moto wa kuotea mbali. Kuna ile hali ya kujiamini kocha anakupa hata aje nani wewe ni kupiga tu.
Ndo hio hali Arteta anawajengea wachezaji wetu. Leo mhindi katudharahu katupa point 6 kushinda mechi ya leo.
