Guacamole
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 6,079
- 16,035
Kaa siti ya mbele kabisa.Tutawaona kesho![]()
Kaa siti ya mbele kabisa.Tutawaona kesho![]()
Kikosi cha city kipana kukosekana kwa kevin siyo guarantee ya ushindi kwa Arsenal. Wakati wanafungwa tano na Leicester, Leicester haikujiandaa kwa kutarajia kevin hayupo.
Na kwetu inatakiwa iwe hivyo. Mipango yetu isihofie kuwepo au kutokuwepo kwa mchezaji fulani wa timu pinzani.
More physical DM
Pragmatic defending
️ More possession in own third
Strict adherence to playing out from back
Delaying implementing 4-3-3


Kuhusu kutengeneza chances ni kweli.Pamoja na upana wa kikosi chao, bado sijaona mtu wa kuyafanya anayoyafanya De Bruyne akiwa uwanjani.. Kama kuna yeyote unaemfikiria mtaje.
KDB ni mmoja kati ya wachezaji waliotengeneza chance nyingi za mabao tangu msimu wa 2019/20.
Hakuna namna ya kutojivunia kutokuwepo kwake, tayari game imekuwa nyepesi zaidi ukilinganisha na mentality iliyopo mwanzo.
Unaweza kukataa lakini ukweli ndio huo.

️
So kesho kevin akiwepo timu yetu ikifungwa utaona ni halali kisa kevin yupo?
absolutelyWe are the best team in London & it’s not even up for debate... London is red & always will be!️ View attachment 1602270View attachment 1602271
Poa tambeni na timu yenu, lkn mujue simba hata awe mzee vipi huwezi mchezea sharubu.Mzee wa kumwekua mwekua Kitoabu em tupumzishe kidogona arsenal yetu,
Vipi Mozambique salama lakn?,Maana nasikia Kuna majanga.
Kipigo kiko pale paleKaa siti ya mbele kabisa.
Wenger kama namuona kwa mbali upande wa Arteta amesimama..Arteta on Xabi Alonso:
"Since we were 7 or 8 years old we've known each other. We played together from a club that was in our region in San Sebastian, then we were neighbours when he was playing for Liverpool and I was at Everton." View attachment 1602291
Uko sahihi. Ninachosema plan isijali nani yupoUnajua kama jibu ni hapana.
Hivi unajua hata angeumia Auba kama ilivyo kwa De Bruyne mashabiki wa timu nyengine wangeshukuru, unalijua hilo?
