DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,993
- 11,871
Wewe hizi 6 za juzi tu umesahau itakuwa mimiFala we, ushasahau zile bao 8 sio?

Sent from my DUB-LX1 using JamiiForums mobile app
Wewe hizi 6 za juzi tu umesahau itakuwa mimiFala we, ushasahau zile bao 8 sio?

Dah... Kwahiyo baba yako kilaza! La haulaaaaaNazungumzia Manchester United VS Arsenal, sio Manchester United VS Tottenham.
Kilaza we!
Namchukia huyu jamaa aiseeeMwingine huyu.
Naona babu Wenger siku za hivi karibuni anajihusisha sana na Arsenal.Mwingine huyu.
Huyu mzee ni Genious akiwa na hao na Djourou, Eboue na uefa ilikua kama kawaida.Naona babu Wenger siku za hivi karibuni anajihusisha sana na Arsenal.
Binafsi naona zama zake zimeisha, atuache tuelekee na muelekeo mwingine sajili zake za Sanogo & Frimpong hatutaki zijirudie.
alibeba uefaHuyu mzee ni Genious akiwa na hao na Djourou, Eboue na uefa ilikua kama kawaida.
Mi nahisi wanataka kumpa shavu labda.
Abebe uefa? Isingewezekana si kwa wachezaji waliokuwepo.alibeba uefa
Mkuu unapata ushujaa gani wa kumkashifu mzee Wenger?Naona babu Wenger siku za hivi karibuni anajihusisha sana na Arsenal.
Binafsi naona zama zake zimeisha, atuache tuelekee na muelekeo mwingine sajili zake za Sanogo & Frimpong hatutaki zijirudie.