Tuelewane.Kweli nimeanza kuamini yule bwana aliyesema religion is the opium of the people alikuwa sahihi.. Yaani kweli wewe kama ungekuwa kocha ungeendelea kumpanga goigoi Ozil ambae form yake inapanda na kushuka kama homa za vipindi!.. Halafu ni kama unapotosha ukweli makusudi unapojaribu kuonyesha kuwa hapangwi kwa kuwa yeye ni Muslim.. Hivi Elneny ni Siku hizi Mkatoliki? Maana naona anacheza kila mechi, au Mustafi nae ni Musabato!.. Yaani kwa sababu ya udini mnaanza kumtetea flop Ozil.. Mtu ambae alicheza karibu mechi kumi bila assist aendelee kuvumiliwa tu. Kwenye issue ya covid 19 alijaribu kugomesha wachezaji wenzake wagomee makato ila nyie mnaona hiyo ni sawa tu!... Kimsingi huyu bwana aachwe aende kwa kuwa anatuvuluga nje ya uwanja... Bro mimi nakuomba muache kuingiza udini kwenye michezo, inakera sana aisee!
Sasa nyie mnalalamika nini kama mnajua mpaka sababu za yeye kutopangwa!... Kwa vile anayempiga benchi ni Arteta basi mpigieni simu mumwambie mmechukia kwa yeye kutompanga, sisi hapa hatutawasaidia chochote!.. Kocha ndie anakaa na wachezaji kila siku, anawajua nje ndani!.. Tatizo mnadhani mnaangaliaga mpira peke yenu lakini ukweli utabaki palepale kuwa Ozil wa sasa kaflop sana, si yule ozil bingwa wa assists na fundi wa mpira wa 2013 hadi 2017.Tuelewane.
Siyo hapangwi kwakua muislamu au hayupo form. Ni hapangwi kutokana na ishu za kisiasa zaidi za nje ya uwanja.
Wewe unaonekana una hasira usije ukanipiga bureSasa nyie mnalalamika nini kama mnajua mpaka sababu za yeye kutopangwa!... Kwa vile anayempiga benchi ni Arteta basi mpigieni simu mumwambie mmechukia kwa yeye kutompanga, sisi hapa hatutawasaidia chochote!.. Kocha ndie anakaa na wachezaji kila siku, anawajua nje ndani!.. Tatizo mnadhani mnaangaliaga mpira peke yenu lakini ukweli utabaki palepale kuwa Ozil wa sasa kaflop sana, si yule ozil bingwa wa assists na fundi wa mpira wa 2013 hadi 2017.
Anaonekana muhudhuriaji mzuri wa wodiniPablo Mari will prove to be a bad deal for us.
Mawazo yangu
Tusifike huko wakuu,Mkuu kama ulikuwa hujui Aaron Arsenal ana chuki iliyopitiliza juu ya uislam
Mkuu hii nafasi ya AMF ndio nafasi aliyokuwa akicheza akiwa Borussia Monchengladbach kabla ya kusajiliwa Arsenal na ndio aliyopatia umaarufu mpaka Arsenal wakamuona.Halafu hili nakupinga kila siku Xhaka siyo AMF
Nakuunga mkono hapa mkuu.Kama mimi ndiyo kocha.
Xhaka haanzi.
Ataanza Ceballos ama Elneny.
Huku mbele itakua Pepe, Auba na Willian.
Lacazette bado anakumbukwa kwa blunder zake kwa Liva.
Unajua AMF anakua na skill moves, flexibility, agility na pace kubwa. Yaani kwa sifa hizo ni sawa zaidi ukamfanya Pepe AMF kuliko Xhaka.Mkuu hii nafasi ya AMF ndio nafasi aliyokuwa akicheza akiwa Borussia Monchengladbach kabla ya kusajiliwa Arsenal na ndio aliyopatia umaarufu mpaka Arsenal wakamuona.
Tofauti ipo kwenye timu ya taifa tu, ambapo anacheza kama CMF.
Usikaze kichwa mkuu.
We mkorea ungekua kocha ungekua Ole.
Hajaenda Sevilla bhana, Sevilla walikuwa wanafanya utani tu kuwa wamemsajiriGunnersaurus aliposimamishwa kazi Mesut akajitolea kumlipa.
Arsenal ikaingilia kati kwa kusena haina haja kwakua atarudi kazini mashabiki wakiruhusiwa kurudi uwanjani.
Ile siku ya deadline Arteta, Edu na wenzao wakiwa bize kumuhangaikia Partey huku Sevilla walikua bize kumuhangaikia Gunnersaurus.
So hatimaye Sevilla wamemsajili Gunnersaurus, mascot aliyekua analipwa pesa ndefu kuliko wote Uingereza, paundi 80,000 per week.
Mesut alitaka kumsave huyu bodi ikasema hajafukuzwa hapa najiuliza sasa kwanini wameruhusu aende Sevilla kama hajafukuzwa.
Huyu jamaa hana rekodi mbaya ya Injury. , unaambiwa hajawahi kuumia katika mpira sawa na pepe hana rekod mbovu za injuryAnaonekana muhudhuriaji mzuri wa wodini
Blunder moja isifanye mtu asipangwe tena, kwa maoni yangu Lacca ana uwezo mkubwa wa holdup play kuliko Auba, games za caliber ya city tunataka striker atakayeweza kukaa na mpira.Kama mimi ndiyo kocha.
Xhaka haanzi.
Ataanza Ceballos ama Elneny.
Huku mbele itakua Pepe, Auba na Willian.
Lacazette bado anakumbukwa kwa blunder zake kwa Liva.