Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal inaconsider kumnunua Benrahma kama mbadala wa Houssem. So now watu wataelewa nilichokua nasema
 
Arsenal inaconsider kumnunua Benrahma kama mbadala wa Houssem. So now watu wataelewa nilichokua nasema
Hii habari mbona naisikia lakini hakuna chanzo chochote kinachoripoti?

Naisikia sana , lakini sijaona

Benrahama anacheza LW nadhan hata AM anacheza kama Willian tu AM anacheza

Itakuwa vzr Akija
 
Kutoka kwa Mark Mann Bryan (wa London football anayedili na Habari za Arsenal)

Anasema

Arsenal inataka kumtoa William Saliba kwa mkopo kwenye Klabu ya Championship.

Lakini kuna mambo itayazingatia kwa uangalifu na sio kumtoa tu .

Mahali(location),

mtindo wa uchezaji(style of play)na Aina ya Kocha,

yote yatazingatiwa.
 
Ni ama Benrahma au Buendia. Na hii deal ya Saliba kwenda Brentford inatarajiwa kumvutia Benrahma kuja Arsenal.
 
.@David_Ornstein:

“In an interview I did with Josh Kroenke in the summer of 2019, we didn’t find out if Arsenal had received a cash injection or some other means, but he did say they had put instruments in place to make this spending possible & it appears to have happened again.”
 
David_Ornstein juu ya Arsenal kutoa hela kwa Partey:

“Ukiangalia vitabu vyao(Arsenal) labda ungebaki ukikuna kichwa chako. Walakini, tuliona msimu uliopita wa joto walitoa hela kwa Nicolas Pepe, ni kwamba(Arsenal) wanaungwa mkono katika usajiri na wamiliki wao, KSE, Stan Kroenke. "
 
Arteta on Thomas:

"I think he allows us to play different formations & he can fit in within those formations in different positions, which is a really good thing to have in a squad where, in midfield, I think we were a little bit short"

IMG_20201007_111413.jpg
 
4-3-3 can be tested again.

Either with Xhaka, Partey, and Ceballos

or with Saka in place of one of Xhaka or Ceballos.

Willian - Auba - Pepe
Saka - Partey - Ceballos
Tierney - Gabriel - Luiz - Bellerin
Leno
 
Said Benrahma

Naamini ni tetesi tu, ila jamaa ni hatari
 
Samahan hizi Taarifa za Benrahma au Buendia Nani anaziripoti ?huenda kuna ukweli
Kuna page ig inaitwa london quotes au kitu kama hicho hua inapop up kwenye feed yangu kwakua niliwahi kulike ishu zao fulani
 
David_Ornstein juu ya Arsenal kutoa hela kwa Partey:

“Ukiangalia vitabu vyao(Arsenal) labda ungebaki ukikuna kichwa chako. Walakini, tuliona msimu uliopita wa joto walitoa hela kwa Nicolas Pepe, ni kwamba(Arsenal) wanaungwa mkono katika usajiri na wamiliki wao, KSE, Stan Kroenke. "
Stan Kroenke miyeyusho. Ile timu yake ya Marekani amewekeza zaidi ya dola bilioni moja ndani ya mwaka (nafikiri 2015) hapo alikua hajawahi kutoa hata sh 100 kwa Arsenal. Arsenal ikiwa inajiendesha kwa pesa za ndani tu.
 
Sema kama ni London Source huwa ni muongo sana huyo ,nime mfollow Twitter , Anaotengeneza sana story za uzushi,

Hii habari karipoti yeye tu, Huwa anaotea otea kutokana na upepo ulivyo,

Juzi alisema Zaha ,dirisha lilipofungwa kahamia kwa Benraham akihusisha labda na dili la saliba

Halafu Sasa hivi Arsenal kama itasajiri lazima awe Homegrown ,maana wale Non home grown wamejaa wamefika limit 17.

Buendia ni Homegrown ,Huyu Benraham ni Mu Algeria , Sina uhakika kama Amekulia Uingereza toka akiwa na miaka 16
IMG_20201008_214717_820.JPG
 
Sema kama ni London Source huwa ni muongo sana huyo ,nime mfollow Twitter , Anaotengeneza sana story za uzushi,

Hii habari karipoti yeye tu, Huwa anaotea otea kutokana na upepo ulivyo,

Juzi alisema Zaha ,dirisha lilipofungwa kahamia kwa Benraham akihusisha labda na dili la saliba

Halafu Sasa hivi Arsenal kama itasajiri lazima awe Homegrown ,maana wale Non home grown wamejaa wamefika limit 17.

Buendia ni Homegrown ,Huyu Benraham ni Mu Algeria , Sina uhakika kama Amekulia Uingereza toka akiwa na miaka 16View attachment 1594376
Duh kumbe ni unreliable...
 
According to
@JamesOlley

, Arteta & his backroom staff believe Saliba needs more time to develop despite impressing in Ligue 1.

Sources told ESPN that they would like to see the Frenchman improve in defending set-pieces & mature in style, notably avoiding diving into tackles.
 
Back
Top Bottom