Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal Yaifanyia Uhuni Atletico Madrid

Wakala wa Torreira amethibitisha kwamba siku za mwisho kabla dirisha halijafungwa ,walikuwa chini ya shinikizo kutoka kwa Arsenal, ikabidi wafanye uhamisho bila kipengere au chaguo la Atletico kumnunua Toreira msimu ujao

Arsenal imemchukua Thomas Partey na kuwapa Atletico mchezaji ambaye, ikiwa atafanya vizuri, basi anarudi London Arsenal,
 
Arsenal imemchukua Thomas Partey
Aisee hawa Atletico Madrid waajabu sana walishindwaje kumpa mkataba mnono Thomas! Mchezaji mzuri namna ile? Nadhani, bodi ya Atletico inayohusika na uhamisho wa wachezaji na welfare zao imefanya uzembe wa hali ya juu!! Mimi kama shabiki wa Arsenal nashangalia mno kwa uzembe wa bodi hiyo...!! Hureeee!! Arsenal!!!
 
Mesut Ozil left out of Arsenal's 25-man squad for the Europa League. Sokratis as well.

Charles Watts

Understand that Mesut Ozil and Sokratis Papastathopoulos
have not been included in Arsenal's Europa League squad - with the list being published today

Mark Mann Bryans
 
OZIL na SOKRATIS WAPIGWA PANGA KWENYE KIKOSI CHA WACHEZAJI 25 MICHUANO YA EUROPA

Arsenal ina wachezaji wasio wazawa 19 , Sheria za michuano ya Europa na EPL zinahitaji uwe na Wachezaji wasio wazawa 17

Taarifa zinasema Kikosi kitakachotoka Leo Majina ya Ozil na Sokratis hayapo ,hivo hawajasajiriwa

Kabla ya Tarehe 20 mwezi huu Arsenal inatakiwa pia kuwasilisha Majina Jumla 25 ya wachezaji kwa Bodi ya Ligi kuu FA .

Majina 17 ya wachezaji wasio wazawa

Majina 8 ya walio wazawa au waliokulia England kuanzia miaka 16 mfano bellerin

Na wachezaji wengine chini ya miaka 21 ,mfano hapa Saka ,Martinell, nketiah wanasajiriwa kwenye kundi hili

Ni dhahiri hata Kikosi kitakachopelekwa FA cha wachezaji 25 Ozil na Sokratis kuna asilimia kubwa hawatakuwepo
IMG_20201006_073012.jpg
 
Torreira agent confirms Torreira transfer to Atletico was complicated and without a purchase option.

In summary, if Torreira has a great season with Atletico then arsenal can sell him for higher fee to Atletico. Arsenal humiliate Atletico board
 
The Guardian have identified Charlie Patino as Arsenal's next big thing. The 17-year-old midfielder has already trained with the first-team. ——————————————————————

At the age of 11, he moved to Arsenal from Luton, which has resulted in comparisons with Jack Wilshere.

A brilliant dribbler with a "diamond of a left foot", he carries the ball forward and possesses a good long-range pass
IMG-20201008-WA0001.jpg
 
Baada ya kulipa kifungu cha Thomas Partey cha € 50 M, Arsenal wamemkopesha Lucas Torreira kwa Atlético de Madrid, ingawa Bila chaguo la ununuzi.

Arsenal walilipa karibu € 30 M kwa Sampdoria.

Toreira akiwa na msimu mzuri katika LaLiga Arsenal itamuuza bei nzuri au kumrudisha.

Business is Business ...
IMG_20201008_094743.jpg
 
Özil going to be cut out of the Premier league squad too it seems that will be announced before the end of the month. He won’t wear the Arsenal jersey again. Sad end but expected
 
Kwani alifanya nini huyu jama, mbona the whole world is against Ozil?
 
Saliba anatolewa mkopo , kwenye list ya wachezaji wa Europa Hajaonekana kwa Mujibu wa James Benge ....

Inaonesha Atatolewa mkopo, Pia Martinel hayupo pia. , Baada ya Group Stage unaruhusiwa kuongeza na kupunguza wachezaji,

Martinel hajawekwa sababu hataweza kucheza mechi za Group stage , Hivo atasajiriwa kwa Hatua zinazofata ....
 
Kwani alifanya nini huyu jama, mbona the whole world is against Ozil?
Alifanya mahojihano na The Athletic ,aliwasema Arsenal waziwazi kabisa Kuwa Wamezingua kutosapoti Muslim lives Matter

Sasa hii kampeni Kwa mujibu wa Ozil, maana yake angeingia Arsenal tu ...

Hii black lives matter ,hata vilabu vingine vinaamuliwa havijianzii vyenyewe tu ,

Mahojihano ya Ozil na The Athletic

It doesn't matter what religion or colour you are — Muslim, Christian, Jew, black, white or anything else. We are all the same," Ozil told The Athletic.

What I said was not against Chinese people, it was against whoever is doing this to the Uighur Muslims and other people who are not helping them, such as other Muslim countries.

"I have given a lot to Arsenal, on and off the pitch, so the reaction was disappointing. They said they don't get involved in politics but this isn't politics and they have got involved in other issues.

"In America, we saw George Floyd killed and the world spoke up to say Black Lives Matter, and that is correct. We are all equal and it's a good thing that people fight against injustice.

"There are a lot of black players and fans of Arsenal and it's fantastic the club is backing them.

"But I wish people would have done the same for the Muslims because Arsenal have many Muslim players and fans as well, and it is important for the world to say that Muslim Lives Matter."

KLABU ikamjibu hivi

always adheres to the principles" of not getting involved in politics.
 
UEFA wametoa list ya wachezaji wa Arsenal waliosajiriwa kwa ajiri ya Michuano ya Europa

Ozil na sokratis hawapo

Saliba hayupo inaonesha anatolewa mkopo

Martinel(anaumwa)

Soma zaid hapa

Arsenal’s Europa League squad is out. Confirmed no Ozil or Sokratis. Saliba out too (looking at loan) and Martinelli (injured).

Arsenal - UEL - Squad
 
Alifanya mahojihano na The Athletic ,aliwasema Arsenal waziwazi kabisa Kuwa Wamezingua kutosapoti Muslim lives Matter

Sasa hii kampeni Kwa mujibu wa Ozil, maana yake angeingia Arsenal tu ...

Hii black lives matter ,hata vilabu vingine vinaamuliwa havijianzii vyenyewe tu ,

Mahojihano ya Ozil na The Athletic

It doesn't matter what religion or colour you are — Muslim, Christian, Jew, black, white or anything else. We are all the same," Ozil told The Athletic.

What I said was not against Chinese people, it was against whoever is doing this to the Uighur Muslims and other people who are not helping them, such as other Muslim countries.

"I have given a lot to Arsenal, on and off the pitch, so the reaction was disappointing. They said they don't get involved in politics but this isn't politics and they have got involved in other issues.

"In America, we saw George Floyd killed and the world spoke up to say Black Lives Matter, and that is correct. We are all equal and it's a good thing that people fight against injustice.

"There are a lot of black players and fans of Arsenal and it's fantastic the club is backing them.

"But I wish people would have done the same for the Muslims because Arsenal have many Muslim players and fans as well, and it is important for the world to say that Muslim Lives Matter."

KLABU ikamjibu hivi

always adheres to the principles" of not getting involved in politics.
Kiubinadamu ozil alikuwa sahihi, arsenal wamechagua upande wenye manufaa kwao kibiashara..
 
Kwani waislam walifanywa nini hadi Ozil kuwasemea na kuja na "Muslims' life matter"? Kuna issues hatutakiwi kuzichanganya, siasa na mambo mengine, ama dini na mambo mengine.

Ona sasa career yake Arsenal inaisha vibaya.
 
Yah klabu ilimkatalia ,

Ujue hata hizo Black lives Matter ,sio klabu inajiamulia ,kuna watu Nyuma ya pazia ndio wanazianzisha then Klabu zote zinafata

Ozil alitaka Arsenal wazame kwenye hilo sakata la China

Nadhan Kama unakumbuka Walimuondoa Ozil kwenye PES huko China, Na Arsenal ilikuwa inaingiza hela nyingi sana kupitia Ozil

Hata Huo mkataba wa £350,000 walimpa sio kimakosa ,sababu alikuwa Anaiingizia klabu pesa kupitia Jezi, Na Image yake

Maana hata Adidas Walimkimbia Ozil,Hawakumuongezea mkataba tena , pia kumbuka Adidas wanaidhamini Arsenal poa,So Ozil akabaki na Brand yake binafsi, ya M10.

Hili swala limekaa Kimsalahi sana , Arteta hausiki wala hana bifu nae,Jana tumeona mazoezi wakisalimiana vzr tu
 
Kwani waislam walifanywa nini hadi Ozil kuwasemea na kuja na "Muslims' life matter"? Kuna issues hatutakiwi kuzichanganya, siasa na mambo mengine, ama dini na mambo mengine.

Ona sasa career yake Arsenal inaisha vibaya.
Kulikuwa na Taarifa Waislamu kule China Wanateswa , Ozil akalivalia njuga

Wachina wakaanza kumpiga ban , gafla Adidas wakaacha kumuongezea mkataba ,n.k

Mambo yamekuwa secret sana, naiman kuna siku Ozil atafunguka
 
Back
Top Bottom